Kiongozi wa Panya road auawa na kikundi cha Wamarekani weusi Dar es Salaam

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Habari wakuu?

Tangu juzi kumekuwa na machafuko makubwa, sehemu ya Mzinga - Mbagala, Temeke DSM.

Kuna makundi mawili ya vijana moja linaitwa wamarekani weusi (Mzinga) na lingine panya road (Dar nzima sasa makazi Mbagala), panya road walipora simu ya demu wa marekani weusi machafuko yakaanza kutafutana na visa kibao vyao bado wanachunguza (source),

Tangu juzi ni machafuko tuu, police wameshindwa wanapiga mabomu tuuu hovyo tangu juzi, media hazilioni hili kabisa.

Wameua na kujerui tangu juzi ni ajabu sanaaaa.

KOVA NA IGP Zuieni makundi haya.

CHANZO: Wanajeshi waliokwenda eneo hilo sasa.

Taarifa zinasema zoezi hilo la kutafutana kwa mapanga zilisambaa mpaka Kigamboni na tetesi wawili waliuawa maeneo ya Mjimwema asubuhi ya jana.

Inasemekana ilikuwa kama Iraki, msululu wa vijana na mapanga nje nje asubuhi sana.
Aiseeh! jana nlikua mbagala maeneo ya sheli bubu nkaona mabomu ya machozi yanapigwa hewani kuuliza naambiwa Wamarekani weusi hao toka juzi wanazichapa sijui na nani.

Kumbe ndo hvyoo duuu
jamani haya makundi ni hatari japo serikali inajifanya haioni
Habari kutoka kwa wadau.

tushamzika mmoja mda si mrefu huyo mmoja viongozi wa vurugu huku maeneo ya mbagala ya charambe kwa mbiku.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Habari wakuu?

Tangu juzi kumekuwa na machafuko makubwa, sehemu ya mzinga - mbagala, Temeke DSM.

Kuna makundi mawili ya vijana moja linaitwa wamarekani weusi (mzinga) na lingine panya road (dar nzima sasa makazi mbagala), panya road walipola simu ya demu wa marekani weusi machafuko yakaanza kutafutana na visa kibao vyao bado wanachunguza (source),

Tangu juzi ni machafuko tuu, police wameshindwa wanapiga mabomu tuuu hovyo tangu juzi, media hazilioni hili kabisa.

Wameua na kujerui tangu juzi ni ajabu sanaaaa.

KOVA NA IGP Zuieni makundi haya.

SOURCE: Wanajeshi waliokwenda eneo hilo sasa.
Taarifa zinasema zoezi hilo la kutafutana kwa mapanga zilisambaa mpaka Kigamboni na tetesi wawili waliuawa maeneo ya Mjimwema asubuhi ya jana.

Inasemekana ilikuwa kama Iraki, msululu wa vijana na mapanga nje nje asubuhi sana.
 
Chungurumbira

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,170
1,195
Hii kitu ni mkakati wa mambo yanayotarajiwa kufanyika 14/12 na mwakani! haitakuwa tofauti sana na mungiki! kuna vijana kwa sasa wanafundishana ngumi , judo na kareti waziwazi kabla ya zoezi la uchaguzi!
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,931
1,225

Hawa vijana watakuja kuwa kama Mungiki very soon na Serikali imezubaa inapambana na ukawa.
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,931
1,225
Hii kitu ni mkakati wa mambo yanayotarajiwa kufanyika 14/12 na mwakani! haitakuwa tofauti sana na mungiki! kuna vijana kwa sasa wanafundishana ngumi , judo na kareti waziwazi kabla ya zoezi la uchaguzi!
Mkuu ulikuwa kwenye mawazo yangu.Inavyoonekana wanapata sapoti ya wanasiasa vinginevyo wangekuwa wamewadhibiti
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
aiseeh jana nlikua mbagala maeneo ya sheli bubu nkaona mabomu ya machozi yanapigwa hewani kuuliza naambiwa wamarekani weusi hao toka juzi wanazichapa sijui na nani...
kumbe ndo hvyoo duuu
jamani haya makundi ni hatari japo serikali inajifanya haioni
 
yakub yusuf

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
320
195
Hata hao al shabaab boko haram walianza km utan halafu ikawa kwel.waache washndwe kuzba ufa ukuta ukianguka ndio watajua km walkuwa wanafanya makosa kucheka nao.
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Taarifa zinasema zoezi hilo la kutafutana kwa mapanga zilisambaa mpaka Kigamboni na tetesi wawili waliuawa maeneo ya Mjimwema asubuhi ya jana.

Inasemekana ilikuwa kama Iraki, msululu wa vijana na mapanga nje nje asubuhi sana.
Me nimeambiwa jana....yan ni shida sanaaaa
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Hii kitu ni mkakati wa mambo yanayotarajiwa kufanyika 14/12 na mwakani! haitakuwa tofauti sana na mungiki! kuna vijana kwa sasa wanafundishana ngumi , judo na kareti waziwazi kabla ya zoezi la uchaguzi!
Yan kwa maeneo yote ya mzinga, kongowe na kigamboni kuna dojo za maana....CCM watch out.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom