frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Habari wakuu?
Tangu juzi kumekuwa na machafuko makubwa, sehemu ya Mzinga - Mbagala, Temeke DSM.
Kuna makundi mawili ya vijana moja linaitwa wamarekani weusi (Mzinga) na lingine panya road (Dar nzima sasa makazi Mbagala), panya road walipora simu ya demu wa marekani weusi machafuko yakaanza kutafutana na visa kibao vyao bado wanachunguza (source),
Tangu juzi ni machafuko tuu, police wameshindwa wanapiga mabomu tuuu hovyo tangu juzi, media hazilioni hili kabisa.
Wameua na kujerui tangu juzi ni ajabu sanaaaa.
KOVA NA IGP Zuieni makundi haya.
CHANZO: Wanajeshi waliokwenda eneo hilo sasa.
Habari kutoka kwa wadau.

Taarifa zinasema zoezi hilo la kutafutana kwa mapanga zilisambaa mpaka Kigamboni na tetesi wawili waliuawa maeneo ya Mjimwema asubuhi ya jana.
Inasemekana ilikuwa kama Iraki, msululu wa vijana na mapanga nje nje asubuhi sana.
Aiseeh! jana nlikua mbagala maeneo ya sheli bubu nkaona mabomu ya machozi yanapigwa hewani kuuliza naambiwa Wamarekani weusi hao toka juzi wanazichapa sijui na nani.
Kumbe ndo hvyoo duuu
jamani haya makundi ni hatari japo serikali inajifanya haioni
Habari kutoka kwa wadau.
tushamzika mmoja mda si mrefu huyo mmoja viongozi wa vurugu huku maeneo ya mbagala ya charambe kwa mbiku.