Kiongozi wa Panya road auawa na kikundi cha Wamarekani weusi Dar es Salaam

Haya mmeona? watu wameichoka nchi hii na kujiita wamarekani weusi. Uzalendo kwishney. Viva wamarekani weusi, naona mmegudua kwamba nchi hii haina serikali.

hahahaaaaa
yaani ni wamarekani weusi kweli maana watata hao
binamu yangu nae alikuwa ktk group mzee kamhamisha kabisa bongo kasema huyu atakua jambazi bora ngoja aende kwa wabaki huko halafu tuone akaanzishe genge wamuue
 
Hawa inasemekana ni green guard na JKT ambao wameachwa mtaani

Polepole vikundi vya uasi ndio vina anza hivi kama ajira hakuna na wakubwa wanapiga hela hivi kwa nini hivi vikundi visichipukie?Hawa ccm wanatupeleka vitani wakuu.
 
Tumejiuliza kwa nini vikundi hivi havipo Masaki,Oysterbay na Mbezi beach?
 
Nadhani ni muendelezo hiyo kitu sio ngeni walikuwepo komando yosso na kiboko msheli watu wangu wa kitambo watakumbuka hilo. hawajatumwa na mtu ni njaa na kutopenda kujishughulisha pia wanajua ufuatiliaji wa polisi ni magumashi na wanatamba kweli uswazi.
 
Nimecheka hilo kundi la wamarekani weusi
. MKUU wanaitwa black america ban a na wanaongozwa namdogo mmoja anaitwaa Fred saitoti anadai anatoka Mara ingawa mmh...sait..aka aka kinyee hawa tofauti yao napanyaroad wakikusachi fauna wanakuacha cut road uwenahela usiwenazonwanakuchapa panga...wlijisogeza mbezibeach tukawekahistoria walikufasana ingawa ilifanywasiri vijana walifundishwankutumia bastola wakawa wanawasubiri usiku wa manane ..awakuruditena Si watu
 
Tumejiuliza kwa nini vikundi hivi havipo Masaki,Oysterbay na Mbezi beach?

huko haiwezi tokea vikundi kwanza mazingira ys huko
na malezi,
ila vikundi hivyo wanauwezo kwenda vamia huko na kuwapora watoto huko wa mboga sabaaa.
 
Nadhani ni muendelezo hiyo kitu sio ngeni walikuwepo komando yosso na kiboko msheli watu wangu wa kitambo watakumbuka hilo. hawajatumwa na mtu ni njaa na kutopenda kujishughulisha pia wanajua ufuatiliaji wa polisi ni magumashi na wanatamba kweli uswazi.

huko huko vikundi ndiyo vinaanzaga....pia kulikuwepo kikundi cha war bus walikuwa sooo nao
 
Hizi zote ni dalili za mwananchi kuchoshwa na uongozi uliopo madarakani. Makundi mengine mengi tu yataibuka, na ni vigumu sana jeshi la polisi kudhibiti makundi kama haya.
 
Taarifa kwa ufupi.

- Wamekamatwa vijana baadhi wa black America jana
-Hali ya mzinga sasa ni amani kubwa
-Maziko ya marehemu yamefanyika jana
-Uongozi wa police mzinga/mbagala ni mhimu kuangaliwa, coz wanalea tatizo hili.
 
Hizi ni gangs,kama zilizowahi kutikisa marekani miaka ya 80 na 90,sina uhakika km bado zipo huko,na chanzo ni ugumu wa maisha.
 
Back
Top Bottom