Kiongozi wa Panya road auawa na kikundi cha Wamarekani weusi Dar es Salaam

Uwepo wao ni kwasababu Askari wetu wengi ni failures na waliopo madarakani ni mabingwa wa ngonjera kwenye Luninga, ulishawahi kumuona Kuva akielezea jambazi sugu alivyouwawa au kukamatwa? Utadhani amekamata au kuua tembo mkubwaaaa, maskini kumbe mtu aliyeuwawa alikua hana hata bunduki. Huwa nacheka sana kwa kweli
 
Haya hebu jionee hapo chini, huyo mmoja yuko kazini na Mwingine yupo bwiiiiii
 
Attachments

  • 1416843550135.jpg
    1416843550135.jpg
    61.8 KB · Views: 311
Uwepo wao ni kwasababu Askari wetu wengi ni failures na waliopo madarakani ni mabingwa wa ngonjera kwenye Luninga, ulishawahi kumuona Kuva akielezea jambazi sugu alivyouwawa au kukamatwa? Utadhani amekamata au kuua tembo mkubwaaaa, maskini kumbe mtu aliyeuwawa alikua hana hata bunduki. Huwa nacheka sana kwa kweli

Maneno mazito sanaa.

cc; @kova
 
Sijui Mbwa mwitu, Panya road na sasa wamarekani weusi mara tutasikia 'sisimizi wa kitaa' . Uwepo wa hivi vikundi ni dalili za udhaifu wa jeshi letu la Polisi ambalo limebakia kufukuzana na wanasiasa wa upinzani. Bila shaka kila mtu anajua hatari ya uwepo wa hivi vikundi hasa kwa wakazi wa Dar es salaam jinsi linavyohatarisha Amani ya wakazi wa huko.

Jeshi la Polisi anzisheni oparesheni ya kuondoa hivi vikundi ipo siku wananchi wataa kuvisaka kimoja baada ya kimoja na kuviteketeza.

UKOSEFU WA AJIRA KWA KIASI FULANI NAO UNACHANGIA.

Hii inankumbusha enzi za Red sonja,comando yosso na delta force. Yan ilikuwa balaa mabibo,kigogo na mburahati nzima,hayo makundi mnayoyazungumzia nyinyi wangekuwa wachumba tu mbele ya hao wababe wa miaka hiyo
 
kweli kabisaa
na hawa yawezekana kuna wanasiasa ama kundi kubwa la wenye mamlaka lipo nyuma yao kuwasapoti kama si kuwalinda, haiwezekani jeshi la polisi na intelijensia yao kali vile lishindwe kuwadhibiti mda wote huo.
wanaachiwa wamake headlines, tusije kulaumiana raia wa kawaida nao watakapolipuka na mchafuko mkubwa kuzuka kwa sababu vurugu zao anaeathirika ni raia mwema na mali zake kama hajajeruhiwa basi ataibiwa.....
stay tune Kamanda KOVA na INTELIJENSIA yako

Haya yako bize na wanasiasa hovyo kabisa polisi wa Tz
 
sijui nani alowatungia hili jina

hao madogo mwanzo walijiita fesibuku baadae wakabadili jina
ni wakorofi jamani hao panya road hawawawezi mwaka jana nilishuhudia tena askari wakipambana nao walimpora polisi mwenzao ndo wakaja kuwashughulikia zilipigwa risasi hewani km saba nane hivi
hali ilikua tete huko mzinga baadae wakaachiwa na asilimia kubwa rika lao ni la shule na vyuo
 
Back
Top Bottom