Kiongozi wa Panya road auawa na kikundi cha Wamarekani weusi Dar es Salaam

Sijui Mbwa mwitu, Panya road na sasa wamarekani weusi mara tutasikia 'sisimizi wa kitaa' . Uwepo wa hivi vikundi ni dalili za udhaifu wa jeshi letu la Polisi ambalo limebakia kufukuzana na wanasiasa wa upinzani. Bila shaka kila mtu anajua hatari ya uwepo wa hivi vikundi hasa kwa wakazi wa Dar es salaam jinsi linavyohatarisha Amani ya wakazi wa huko.

Jeshi la Polisi anzisheni oparesheni ya kuondoa hivi vikundi ipo siku wananchi wataa kuvisaka kimoja baada ya kimoja na kuviteketeza.

UKOSEFU WA AJIRA KWA KIASI FULANI NAO UNACHANGIA.
 
aiseeh jana nlikua mbagala maeneo ya sheli bubu nkaona mabomu ya machozi yanapigwa hewani kuuliza naambiwa wamarekani weusi hao toka juzi wanazichapa sijui na nani...
kumbe ndo hvyoo duuu
jamani haya makundi ni hatari japo serikali inajifanya haioni

kwani tanzania kuna serikali? kama ipo ni ipi hyo
 
kweli kabisaa
na hawa yawezekana kuna wanasiasa ama kundi kubwa la wenye mamlaka lipo nyuma yao kuwasapoti kama si kuwalinda, haiwezekani jeshi la polisi na intelijensia yao kali vile lishindwe kuwadhibiti mda wote huo.
wanaachiwa wamake headlines, tusije kulaumiana raia wa kawaida nao watakapolipuka na mchafuko mkubwa kuzuka kwa sababu vurugu zao anaeathirika ni raia mwema na mali zake kama hajajeruhiwa basi ataibiwa.....
stay tune Kamanda KOVA na INTELIJENSIA yako
 
polisi wao ni kupambana na mandamano ya ukawa...tu, ila ngoja siku mtoto wa kigogo afanyiwe kitu mbaya na hivyo vikundi ndiyo watajuaaaaa
 

Hao vijana wakipata vichaa wa kuwafadhili yaani wapate mafunzo na silaha za moto itakuwa shida Sana.

Halafu ni vitoto vidogo visivyokuwa na majukumu aisee mtakuwa mnalazwa saa kumi jioni daily na mtaporwa mchana peupe.

Bongo kama Joh'berg kwa crime rate.
 
kweli kabisaa
na hawa yawezekana kuna wanasiasa ama kundi kubwa la wenye mamlaka lipo nyuma yao kuwasapoti kama si kuwalinda, haiwezekani jeshi la polisi na intelijensia yao kali vile lishindwe kuwadhibiti mda wote huo.
wanaachiwa wamake headlines, tusije kulaumiana raia wa kawaida nao watakapolipuka na mchafuko mkubwa kuzuka kwa sababu vurugu zao anaeathirika ni raia mwema na mali zake kama hajajeruhiwa basi ataibiwa.....
stay tune Kamanda KOVA na INTELIJENSIA yako

hawana support yoyote....ila wangekuwa wanatumuwa kuwakabili vigogo wa nchi inge kuwa balaaa
wao ni kupira sim na makororo mengine tu
 
Makundi haya yadhibitiwe mapema vinginevyo yatabadilika na kuwa kikundi cha kisiasa ama waasi wanaotenda uovu ndani ya jamii na kuwa ngumu kuyadhibiti
 
Watoto wa mbwa wako? Ngoja na wao wakinukishe ila hii Isije kututoa kwenye mada kua ya escrow hadi wajiuzulu, wakamatwe Na kufunguliwa kesi, na yote yafanyike ndani ya wiki hiihii
 
aisee hao vijana kwanini tusiwape kazi ya kuua waliokula hela za esrow waanze na kubwa la maadui chenge
 
UBALOZI WA MAREKANI WANA TAARIFA juu ya uvamizi wa vijana wao nchini?
Habari wakuu?

Tangu juzi kumekuwa na machafuko makubwa, sehemu ya mzinga - mbagala, Temeke DSM.

Kuna makundi mawili ya vijana moja linaitwa wamarekani weusi (mzinga) na lingine panya road (dar nzima sasa makazi mbagala), panya road walipola simu ya demu wa marekani weusi machafuko yakaanza kutafutana na visa kibao vyao bado wanachunguza (source),

Tangu juzi ni machafuko tuu, police wameshindwa wanapiga mabomu tuuu hovyo tangu juzi, media hazilioni hili kabisa.

Wameua na kujerui tangu juzi ni ajabu sanaaaa.

KOVA NA IGP Zuieni makundi haya.

SOURCE: Wanajeshi waliokwenda eneo hilo sasa.
 
Back
Top Bottom