Imekuwaje sare za Mbio za Mwenge ziwekwe picha ya Rais Samia? Je, sare hizo zimenunuliwa kwa gharama ya nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,154
217,087
Screenshot_2024-04-02-17-22-25-1-1.png

Nimesikitishwa sana na mavazi (sare) ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa kinachoitwa Mbio za Mwenge, kwa nchi masikini kama hii inayoomba omba kila mara kutumia hela za umma ili kushona sare za mwenge, ni jambo ambalo ni sawa na kituko, bad enough sasa sare zenyewe badala ya kuwekwa vivutio vya Nchi inawekwa picha ya Rais Samia!

Sasa ni hivi, ni lazima Wananchi waelezwe hizo sare ni za kazi gani na ziko ngapi na bei yake ni ipi na zimegharamiwa na nani? Na kama hamtaki kusema ukweli basi tutaingia kazini sisi wenyewe kuutafuta ukweli na kuuanika hadharani , Tusilaumiane !
 
View attachment 2951965

Nimesikitishwa sana na mavazi (sare) ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa kinachoitwa Mbio za Mwenge , kwa nchi masikini kama hii inayoomba omba kila mara kutumia hela za umma ili kushona sare za mwenge , ni jambo ambalo ni sawa na kituko , Bad enough sasa sare zenyewe badala ya kuwekwa vivutio vya Nchi inawekwa picha ya Samia !

Sasa ni hivi , ni lazima Wananchi waelezwe hizo sare ni za kazi gani na ziko ngapi na bei yake ni ipi na zimegharamiwa na nani ?
Mwenge ni itifaki ya Rais ,swala la picha ni kionjo tuu.
 
Kujikomba komba,kulambalamba
Miguu
Sema yote hiyo ni UNAFKIIII tu

Ova
 
View attachment 2951965

Nimesikitishwa sana na mavazi (sare) ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa kinachoitwa Mbio za Mwenge , kwa nchi masikini kama hii inayoomba omba kila mara kutumia hela za umma ili kushona sare za mwenge , ni jambo ambalo ni sawa na kituko , Bad enough sasa sare zenyewe badala ya kuwekwa vivutio vya Nchi inawekwa picha ya Samia !

Sasa ni hivi , ni lazima Wananchi waelezwe hizo sare ni za kazi gani na ziko ngapi na bei yake ni ipi na zimegharamiwa na nani ?
Usiogope huo ni uchuro!ipo nguvu kubwa juu ya sifa apewqazo mtu!!

Sifa huzidi sana mtu akishaenda Kwa mwenyezi Mungu,ukiona unasifiwa Sana ujue wakati umekaribia!mf. Jpm sifa zilimponza Mungu akamwita haraka!!

Mimi nikishika dola “JAMUHURI ITASIFIWA SANA"Yeyote atakaeleta uchawa Kwa viongozi atashtakiwa Kwa kosa la uhaini!!!

Nasubiri kuingia kitalani!!
 
Nimesikitishwa sana na mavazi (sare) ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa kinachoitwa Mbio za Mwenge, kwa nchi masikini kama hii inayoomba omba kila mara kutumia hela za umma ili kushona sare za mwenge, ni jambo ambalo ni sawa na kituko, bad enough sasa sare zenyewe badala ya kuwekwa vivutio vya Nchi inawekwa picha ya Rais Samia!

Sasa ni hivi, ni lazima Wananchi waelezwe hizo sare ni za kazi gani na ziko ngapi na bei yake ni ipi na zimegharamiwa na nani?
Rais ni alama ya umoja na utaifa wetu, lakini pia ni nembo ya Tafa kwa mataifa...

ni lazima kuona fahari uonapo picha ya mkuu wa nchi kwenye mavazi n.k...

na sio kikasirika,
huo ni uhaini,
ni kikosa upendo kwa mkuu wa nchi na kukosa uzalendo kwa nchi yako...

mbaya sana kua na gubu...
 
Back
Top Bottom