mzalamuMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
mzalamuMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Tutapiga kuraMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Kuna wengine aliwashindwa Hadi Leo wapo na wanaendelea na Mila na destuli zao!!..kuna Hadi wenye mabunge Yao!!Katika vitu ambavyo Nyerere alitumia akili sana ni kuvunjilia mbali uchifu, wangetuvuruga kwa ukabila na hivyo project ya kujenga utaifa kufeli
mzalamuMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Wafipa Sumbawanga , na Wasafwa mbalizi mbeyaHivi ni Kabila Gani Lilishawahi kuwa Na Chief Mwanamke Hapa Bongo?
Utambuliwe ili iweje? Nyerere alishamaliza habar yao.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
InfluenceSifa za mgombea zipi
ni ya wazaramo , Chief atatoka uzaramoni huko kwa kina KingwenduMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Asante kwa tusi, ungeweza kunijibu haa bila kunitukana...lakini ujue sio kila Chifu amechoka kinamaisha kama unavyofikiri..machifu wengi wana mali za kutosha sio hela in physical currency bali assets! mfano machifu wa usukumani wengi wao ni matajiri wa ng'ombe!Acha ujinga ,
Hao Babu zako ni jamii ya watu waliochoka kimaisha,hivyo wananua kuwa hiyo unaweza kuwa sehemu ya kujipatia kipato
Acha ujinga ,
Hao Babu zako ni jamii ya watu waliochoka kimaisha,hivyo wananua kuwa hiyo unaweza kuwa sehemu ya kujipatia kipato