Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

Hivi mzee wa vijisenti ni chifu wa wapi vile? in mzee wa ruksa voice.....
 
Katika vitu ambavyo Nyerere alitumia akili sana ni kuvunjilia mbali uchifu, wangetuvuruga kwa ukabila na hivyo project ya kujenga utaifa kufeli
Kama Uingereza kwasasa hamna mambo ya Queen wala King..Nyerere hii moja ya mbinu chafu aliwai kufanya...alikua kua machifu watakua na nguvu kuliko yeye..Pia alifanya hivyo ili kuepuka kuzalisha uhasi
 
Zumbe wa Kizaramo wapo. Dar ni ya wazaramo. Wasukuma kujazana Dsm hakuwafanyi kuwa wenye nchi ya Dar


Dar hainaga mwenyewe au tuseme ni ya wote!

Kwa asili mzaramo ni mkoa wa Pwani.

Maeneo maalum ya Zaramo ni kama vile Msanga, Manerumango, kisiju, Cholesangula, Mvuti, Mkuranga kidogo na Bagamoyo kidogo.

Hayo maeneo yote nilokutajia yapo Mkoa wa Pwani tangu Uhuru!
 
Dar hainaga mwenyewe au tuseme ni ya wote!

Kwa asili mzaramo ni mkoa wa Pwani.

Maeneo maalum ya Zaramo ni kama vile Msanga, Manerumango, kisiju, Cholesangula, Mvuti, Mkuranga kidogo na Bagamoyo kidogo.

Hayo maeneo yote nilokutajia yapo Mkoa wa Pwani tangu Uhuru!
Hamna sehemu isiyo na wenyewe. Makaburu wa Africa kusini nao huwa wanadai ile nchi haikuwa na wenyewe. Usichojua hadi mwaka 1973 Dar es Salaam ilikuwa sehemu ya mkoa mkoa wa Pwani unaouzungumzia
 
Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza

Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?

Ndiyo huyu hapa?
 
Huu ni mtego Chifu Hangaya anatakiwa kuukwepa huu, tutakuja kuwa kama Uganda tusipoangalia
 
Back
Top Bottom