Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Status
Not open for further replies.
Its too late, sikuamini slaa alivyopuuzwa iwe hiyo pimbi bqvicha? Sisi ndo Chadema damu
 
7335758372017891113
 
Sio watu wote wenye roho kubwa ya kuyapokea mabadiliko.
Kama Slaa ameondoka na hatujatetereka nani huyo wa kutusumbua akili?
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Kwa mahesabu ya haraka haraka hata akihama na chadema yote "ingawa si rahisi " atakuwa amepunguza asilimia 0.000000000000001 % ya kura za EL watu wamejikita kwenye mabidiliko na sio siasa za kufuata viongozi
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Hizi ni mbinu za kijinga. Zote zimebuma
 
Nikweli imebidi ccm tujibu mapigo na tumemupati shilling millioni mianne. Ni pesa nyingi lakini kupunguza kasi ya edward lowasa hatuna budi kama chama kutumia mbinu hii ili tuone kama tutashinda
 
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
attachment.php
 
Watu wanataka mabadiliko hakuna atakaeeleweka ata awe nani ccm huu ndio mwisho wao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom