Ndoano ya mwisho ya CCM ilikuwa ni Mzee Slaa.
Kama ilishindikana basi Lowassa ndiye Raise ajaye.
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
Kwa ushauri wako wa mwisho hakikisha unabeba mfukoni na kipande cha matibabu MOI
pima mwenyewe
Mfukoni tunabeba chupa ya maji na kitambaa kilicholowana
. Walaa msitutishe na migari hiyo. Mwisho J2
pima mwenyewe
Mfukoni tunabeba chupa ya maji na kitambaa kilicholowana
. Walaa msitutishe na migari hiyo. Mwisho J2
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
mkuu baada ya uchaguzi na magufuli kushinda ni nini hatma yako kisiasa??
Una uhakika ndugu?? unaonaje ndani ya mioyo ya watu?? katu usiusemee moyo wa mtu mwingine...subiri yatakayojiri baada ya uchaguzi ndio utaelewa watanzania wanaelewa kwa dhati wagombea ambao ni full wasanii na ambao wana nia ya dhati ya kuona Tanzania inajikwamua kiuchumi