Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Status
Not open for further replies.

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.
 
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
 
Ameshafika BEI???

Huyo anapishana na Mafuriko!!, ni lazima asombwe tu!!, la sivyo anakufa kifo cha mende, mlalo wa chaliii.

ilikua DR, Silaa, na Prof Lipumba, sembuse huyo Simbilisi>??

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.
 
Too late to catch the train,atakuwa ni juliana shonza huyo na mwampamba
 
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo

Ugggh hiyo Mioyoni mwa watu kulojaa jina moja la Lowasa si ndio mioyo ile ilokuwa imemjaza Slaa kama Rais wa Mioyo yao ? sitoshangaa kesho na kesho kutwa akawa Rais wa kuji... kwani mioyo hiyo sio madhubuti ni mioyo ya barafu inayayuko mda wowote. Ukumbusho tu, kabla 2015 "Dr.Slaa Rais wa mioyo ya watu, leo Dr.Slaa ni Dr.MIHOGO" by CHADOMO. kwahiyo tushawazowea na vijimaneno vyenu ya hovyo, chapa lapa sasa
 
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo

Ugggh! hiyo Mioyoni mwa watu kulojaa jina moja la Lowasa si ndio mioyo ile ilokuwa imemjaza Slaa kama Rais wa Mioyo yao ? sitoshangaa kesho na kesho kutwa akawa Rais wa kuji... kwani mioyo hiyo sio madhubuti ni mioyo ya barafu inayayuko mda wowote haiwezi joto. Ukumbusho tu, kabla 2015 "Dr.Slaa Rais wa mioyo ya watu, leo Dr.Slaa ni Dr.MIHOGO" by CHADOMO. kwahiyo tushawazowea na vijimaneno vyenu ya hovyo, chapa lapa sasa.
 
Katoka Slaa katibu mkuu wa chama atakuwa kiongozi wa vijana.
 
Hivi kwa huko BAVICHA kuna kiongozi mkubwa kuliko aliyekuwa katibu wa CDM Dr Slaa...

Btw hao viongozi wa BAVICHA ukiniuliza Mtanzania wa kawaida kama mimi nisiye na itikadi za vyama wala simjui hata mmoja na wengi wetu wapo kama mimi...
 
Umesahau moja mkuu,KUNJA NDANI NJE KUONDOA KURA ZA MARUHANI!!!!!!
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Kumbe tetesi! Ila ni uhuru wake wakuna jambo la achabu hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom