Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
🗓️08 Aprili, 2024
📌HQ
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa chini ya Mwenyekiti wake Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) katika Mwendelezo wa Utamaduni wa UVCCM ya kuishi karibu na Jamii ya Watanzania imeona kadhia iliyowakumba wananchi wa Rufiji na Kibiti hivyo imeona umuhimu wa kwenda kuwafariji na kuwapelekea mahitaji muhimu ya kibinadamu kama Chakula.
Utamaduni wetu Watanzania kipindi cha Majanga au Changamoto ya aina yoyote tunakimbiliana na kutoa faraja ya hali na mali kadri tunavyokua tumejaliwa. Hivyo tunawasihi sana Watanzania tuwe sehemu ya faraja kwa Ndugu zetu wa Rufiji na Kibiti katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamMleziWaWana
#Kaziiendelee.
Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.