Nyie hamjachoka chochote. Waliochoka hujitahidi kuwa makini wasikosee tena. Nyie mnataka kulikoroga zaidi na huku kunaitwa kuchanganyikiwa. Hatuwezi kuongozwa na watu dizaini hii. Chagua Magufuli
Mkuu nichague watu wa dizaini gani hao? Wa dizaini ya mrukwa akili?? Kama anaweza kusimama juu ya paa ya SUV ahutubie wakati kuna majukwaa huyo waona ni mzima?? Tunachotaka ni mabadiliko sio mtu.