Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Status
Not open for further replies.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.




Kama siamini vile! Yaani CCM na mihela yote muliyonayo bado mumekuwa maskini wa wanachama! ama kweli mwisho wa maji ni tope!
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Wamechelewa
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.
Hivi kweli CCM mmelaaniwa na nani?Hamjajifunza miaka yote ya kujiandaa kuwapandishwa wasaliti makukwaani kwamba saliti wa CDM ni laana kwa CCM?Hivi kweli katoka Dr. Slaa mwenyewe hakuenda hata jukwaa la pili keshakuwa uvundo kwa wananchi...bado akili hamna?NDIO BAVICHA ?si wametoka wengi sana..
 
Ugggh hiyo Mioyoni mwa watu kulojaa jina moja la Lowasa si ndio mioyo ile ilokuwa imemjaza Slaa kama Rais wa Mioyo yao ? sitoshangaa kesho na kesho kutwa akawa Rais wa kuji... kwani mioyo hiyo sio madhubuti ni mioyo ya barafu inayayuko mda wowote. Ukumbusho tu, kabla 2015 "Dr.Slaa Rais wa mioyo ya watu, leo Dr.Slaa ni Dr.MIHOGO" by CHADOMO. kwahiyo tushawazowea na vijimaneno vyenu ya hovyo, chapa lapa sasa

Kumbe na wewe ni Security Guard??? kuwa makini na kauli zako maana siku zimeisha usijeanza lialia.
 
Slaa aliitwa rais wa mioyo ya watu

Akikosea asiambiwe kisa tulimpenda?
sisi siyo CCM ambao hawana msimamo. Kikwete mwaka 2010 alisema Lowasa ni kiongozi safi na wala hana tatizo lolote wakati akimpigia kampeni kule Monduli. Leo anataka kutuaminisha kuwa si safi hivi kweli?
 
Ugggh! hiyo Mioyoni mwa watu kulojaa jina moja la Lowasa si ndio mioyo ile ilokuwa imemjaza Slaa kama Rais wa Mioyo yao ? sitoshangaa kesho na kesho kutwa akawa Rais wa kuji... kwani mioyo hiyo sio madhubuti ni mioyo ya barafu inayayuko mda wowote haiwezi joto. Ukumbusho tu, kabla 2015 "Dr.Slaa Rais wa mioyo ya watu, leo Dr.Slaa ni Dr.MIHOGO" by CHADOMO. kwahiyo tushawazowea na vijimaneno vyenu ya hovyo, chapa lapa sasa.


Akikosea asiambiwe kisa tulimpenda?
sisi siyo CCM ambao hawana msimamo. Kikwete mwaka 2010 alisema Lowasa ni kiongozi safi na wala hana tatizo lolote wakati akimpigia kampeni kule Monduli. Leo anataka kutuaminisha kuwa si safi hivi kweli?
 
mkuu baada ya uchaguzi na magufuli kushinda ni nini hatma yako kisiasa??

mwaka huu hakuna cha CCM wala Makufuli hapa ni funguo tu kura zote
LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


mkuu baada ya uchaguzi na magufuli kushinda ni nini hatma yako kisiasa??




Akikosea asiambiwe kisa tulimpenda?
sisi siyo CCM ambao hawana msimamo. Kikwete mwaka 2010 alisema Lowasa ni kiongozi safi na wala hana tatizo lolote wakati akimpigia kampeni kule Monduli. Leo anataka kutuaminisha kuwa si safi hivi kweli?


mkuu baada ya uchaguzi na magufuli kushinda ni nini hatma yako kisiasa??

Atashinda na njaa.
 
Nasema kwa mara nyingine.,taarifa hizi zinanipa faraja sana katika moyo wangu..!!

We malaya bado hujajifunza tu dhambi ya usaliti? Sasa unafurahi nini kama Dr mihogo wenu alitusaliti na bado hatukutikisika ije kuwa huyo mende? Na aondoke tu.
 
Hata ahame Mbowe,rais ni Lowassa
HILI NALO NENO

Kwa ushauri wako wa mwisho hakikisha unabeba mfukoni na kipande cha matibabu MOI
Akili ndogo kushauri akili kubwa ndiyo tatizo lake hivi.
Wewe unaona Polisi hawana akili kama wewe?
wanadugu zao ndiyo wengi wako ukawa hata wao wenyewe wanapenda Lowasa
Wataisoma ccm mbele kwa mbele tumejipanga

Mimi na familia yangu hatuendi maana ni kosa kwenda kinyume na mamlaka. Mbio hatuwezi je ikitokea kuna mkanyagano? Rafiki acha usiende
 
CHADEMA nawajua akina mbowe, tundu, Prof safari, na zamani nilikuwa nawafahamu akina zzk na slaa... Kuna wengine? kwa huku kwetu ntwara bavicha ndo nn?
 
Una uhakika ndugu?? unaonaje ndani ya mioyo ya watu?? katu usiusemee moyo wa mtu mwingine...subiri yatakayojiri baada ya uchaguzi ndio utaelewa watanzania wanaelewa kwa dhati wagombea ambao ni full wasanii na ambao wana nia ya dhati ya kuona Tanzania inajikwamua kiuchumi

Magufuli hana jipya zaidi ya kutuuza ili tuwe watumwa kwenye Nchi yetu
Uwe makini na uamuzi wako ili kuleta maendeleo.
Maana Mihogo haiwezi kujipika yenyewe ni lazima ipate mtu wa kupika, ccm haiwezi kujisafisha yenyewe mpaka ipate mtu wa kuisafisha.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Hiyo ni hiyari yake mbona Kingunge kahamia ukawa hiyo ndio faida ya Vyama vingi je kuna lingine jipya ukicomfirmed usisahau kutuambia
 
Ugggh hiyo Mioyoni mwa watu kulojaa jina moja la Lowasa si ndio mioyo ile ilokuwa imemjaza Slaa kama Rais wa Mioyo yao ? sitoshangaa kesho na kesho kutwa akawa Rais wa kuji... kwani mioyo hiyo sio madhubuti ni mioyo ya barafu inayayuko mda wowote. Ukumbusho tu, kabla 2015 "Dr.Slaa Rais wa mioyo ya watu, leo Dr.Slaa ni Dr.MIHOGO" by CHADOMO. kwahiyo tushawazowea na vijimaneno vyenu ya hovyo, chapa lapa sasa

Acheni Usengerema nyieeee!!!!! Rais ni Lowasa
 
Hiyo ni hiyari yake mbona Kingunge kahamia ukawa hiyo ndio faida ya Vyama vingi je kuna lingine jipya ukicomfirmed usisahau kutuambia

Yaani aende huko ambako Mzee Kingunge kawaacha anasema vijana ambao hawajitambui wapinga mabadiliko....itakuwa kichekesho japo ana haki ya kwenda anapotaka...pumzi kule imeshakata sijui atapumua vipi
 
Wewe kaondoka dk. mihogo cdm haijayumba itakuwa huyo:what: watu tunataka mabadiliko bhana, piiiiipooooozzzz..!!
 
Mnaongelea kuhama watu kwenda ccm juen kuna wengine hata aondoke mheshimiwa lowasa sisi hatuendi ccm!!
Ni heri kufa kuliko kwenda ccm!!
Atakaye simama hata kama poyoyo ili mradi anauwezo wa kumwangusha adui namba moja CCM TUTAMPA KURA!!
 
Hata akihama Mbowe na Ndesamburo, bado tutamchagua Lowassa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom