Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Status
Not open for further replies.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Endeleeni kutengeneza movie zenu. Mimi nasubiri ile ya tarehe 24 Oct ya Lowasa kujitoa kwenye ugombea. Producers Miraji na Nyerere feki
 
Na kuna clips tunazisubiri star tv za cheap propaganda...ni shida kua kila mnachopanga kinajulikana nakua pre emptied..
 
taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa baraza la vijana wa chadema (bavicha) anategemea kujiengua katika baraza hilo na kujiunga na jumuiya ya vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm)

mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.
wanahofia aibu ya juma2
 
Hakika mwaka huu ni wa “Mabadiliko” maana CCM wametumia na bado watatumia mbinu nyiingi bila Kufanikiwa kuyazuia Mabadiliko yatokanayo na Watu waliochoka ahadi za Maisha Bora kwa miaka nenda rudi !!Mfano;
1. Wamenunua vyombo vya habari kama Magazeti,Vituo vya Redio na Runinga na Blogs lakini wapi!!
2. Wamenunua Viongozi Waandamizi wa vyama vya Upinzani kudhoofisha Mabadiliko lakini wapi!!
3. Wamenunua Wasanii wa Maigizo,Wanamichezo na Wanamuziki wa Kizazi Kipya kuwavuta vijana lakini wapi!!
4. Wametoa vitisho kwa watu wanaopenda mabadiliko vijana na wakina mama lakini wapi!!
5. Wamepenyeza watu kudhoofisha upinzani katika vyama na kwa Wanaharakati lakini hollaa!!
6. Wamejaribu kuzusha tuhuma mbalimbali kwa Viongozi wa “Mabadiliko” lakini wapiii!!
7. Wametumia vyombo vya dola kuzima “Mabadiliko” kwa kuwakamata na kuwasweka ndani na kuwafungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu wana Mabadiliko lakini wapiiiii!!
8. Wameunda Kamati ya watu 32 maalumu kwa ajili ya kuporomosha matusi na kuzusha tuhuma za ufisadi kwa Lowassa na wana “Mabadiliko” Lakini wapiiii!!
9. Waliapa kutokutumia Helkopta katika Uchaguzi wa Mwaka huu kwa kusingizio wanataka kupita kila kata kwa wapiga kura lakini wapiiii!!
10. Wameandaa tafiti feki za Twawezwa na Ipsos pamoja na mdahalo kuwalaghai wana “Mabadiliko” lakini wapi!!
11. Wametumia Mamilioni kuwalaghai watumishi wa Umma kama Polisi waliowatelekeza siku nyingi kwa kuwapa posho nono na ahadi lukuki za vyeo lakini wapiiii!!
12. Wamejaribu kuwalaghai walimu ambao waliwasahau miaka nenda rudi na sasa wameahidi kuwalipa baadhi ya madai yao lakini wapiii!!
13. Wamejaribu kutoa kuwaondoa baadhi ya Watumishi wa idara Muhimu zinazohusika na uchaguzi ili kujenga hofu na kuandaa mipango miovu lakini wapi!!
14. Wamejaribu kuwatumia Vingozi wastaafu kuomba Huruma kwa Wananchi waliowaacha katika Umaskini mkubwa,maradhi na ujinga huku wakiwakejeli lakini wapiiii!!
15. Wamejaribu kuwazuia Wapinzani kutumia Viwanja vyao na Sehemu mbalimbali kwa ajili ya Kampeni lakini wapiiii!!
16. Wamejaribu kutumia ulaghai wa kuwavalisha wafuasi wao mavazi ya Upinzani ili wawakatate Viongozi wa Upinzani eti kuonesha kumeguka kwa Upinzani lakini wapi!!
17. Wamejaribu kupanga njama za kuwadhuru Viongozi wa Upinzani kwa namna mbalimbali lakini wapiii?
18. Wamejaribu kutumia Matamasha,Makongamano,Mikutano,Semina,Maandamano,Mikusanyiko,Matamko,na Warsha mbalimbali kubadili hisia za Wananchi dhidi ya Mabadiliko lakini wapiiiiiiiiiiiiiii!!!
19. Wamejaribu kupanga Mapinduzi hewa ya Kuwapindua Viongozi wa Upinzani kuonesha kumeguka kwa Umoja wa UKAWA lakini wapiii!!
20. Wamejaribu kupiga push ups,kuongea lugha za makabila mbalimbali,kucheza rhumba,kuandaa fiesta na Kufunga milango watu wasiondoke Viwanjani baada ya Fiesa lakini waaapi!!
21. Wamejaribu kusomba watu kwa malori,pikipiki,bajaji,Mabasi kutoka Mkutano mmoja hadi mwingie kujaza mikutano kuwahadaa wana “Mabadiliko”Lakini waaapi!!!
22. Kuzuia post za Ki “Mabadiliko” katika Mitandao ya Kijamiii kama JF,FB,Twitter, na Kuwa Block wanao post Mabadiliko ..Lakini wapiiii!!
23. Wamejaribu kuwashinikiza waajiri kuwafukuza Wafanyakazi wao wanaopenda Mabadiliko ili kuwatisha wengineo Lakini waapiii!!
24. Wamejaribu kurusha ndege za Kivita ili kuwatisha wananchi dhidi ya Mabadiliko pamoja na kuonesha Picha za Machafuko katika nchi mbalimbali na kufananisha Mabadiliko na Kuwait na Iraq lakini waaapiiii!!!!
25. Wanajaribu kutengeneza “Goli la Mkono” kwa takwimu za wapiga kura na kuzuia Wapinzani kuhakiki taarifa sahihi za Vifaa na Daftari kwa wakati lakini wapiiiiii!!
26. Wamejaribu kuzindua Miradi iliyokwisha zinduliwa zamani pamoja na Miradi hewa ama ambayo hata haijaanza kuwarubuni wananchi lakini wapi!!!!
27. Wamezindua magari 777 ya polisi pamoja na kuzindua uwanja wa ndege wa Ngerengere kwa ajili ya kuwatisha Wananchi wasibaki kulinda kura zao Vituoni lakini wapiiii!!
28. Wameshindwa kuvunja Baraza la Mawaziri pamoja na kuendelea kutea wakuu wa Wilaya,Mikoa na Taasisi mbalimbali pamoja na kuwaondoa wale wanaoshabikia “Mabadiliko” lakini wapiiiiii!!
29. Wamewatumia watu maarufu kama mama Maria Nyerere na wengine kumuunga mkono Magufuli lakini wapiiiiiii!!
30. Na bado ndani ya siku zilizobakia watakuja na mbinu mbalimbali tena huenda zikawa ni mbaya zaidi na zenye dalili ya uvunjifu wa AMANI na UTULIVU wa Nchi ili mradi wazuie “Mabadiliko” ninaamini kwa Msaada wa MUNGU watashindwa na kulegea!!!!
Mimi nitampigia kura yangu ya thamani “EDWARD NGOYAI LOWASSA” pamoja na “Diwani na “Mbunge” wa UKAWA!!..Kwa maisha bora ya kwako nay a Kizazi chako Ondoa CCM,kwani imeishiwa pumzi!!!! “ALUTA Continua, Victoria Ascerta”.... “The Struggle Continues, Victory is Certain”; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!
 
kailem;
Hivi weye hujaamua?? Usiogope kusema kuwa kura yako ni ile itakayoleta mabadilkooooo, Hata wangeweka jiwe, ndilo lingechaguliwa. Hatumchukii mtu tunachukia chama flani tu. Tukipige chini mengine baadaye. TUMECHOKAAAAaaaaa. 54 years si mchezo, halafu yasivyo na aibu yanatuambia ati tuwape tena 5 yrs. TUMECHOKAAAAAAaaaaa

Tuna mitazamo tofauti. Mimi naamini kiongozi aliyeko juu ni muhimu sana katika kutekeleza dira na maendeleo kwa ujumla. Chama hakiwezi kuleta maendeleo lakini anayeongoza chama ni muhimu sana kwa kufanikisha mipango iliyowekwa. Kwa hiyo sifa za wagombea zinahusu sana sana kwa hatma ya Tanzania ya Kesho tukiweka masuala ya vyama pembeni. Km alivyokuwa Nyerere mchango wake ulionekana wazi katika kumkwamua mtanzania lakini sio chama. Vision aliyokuwa nayo Nyerere na moyo wa dhati usio na ubinafsi ulifanikisha mambo mengi muhim ikiwa ni pamoja na kupata uhuru. Kwa hiyo tunaitaji kiongozi mwenye vision kwanza halafu ndio tuangalie masuala ya vyama.
 
Wataisoma ccm mbele kwa mbele tumejipanga

Kumbe ni kuisoma tuu. Mbona hata wakati tumeketi tukiusherehekea ushindi bado tutaisoma ccm ikiwa inaondoa mauchafu yake kule Ikulu kupisha mabadiliko???? Tatizo si kusoma tatizo ni kusomwa
 
kailem;
Hivi weye hujaamua?? Usiogope kusema kuwa kura yako ni ile itakayoleta mabadilkooooo, Hata wangeweka jiwe, ndilo lingechaguliwa. Hatumchukii mtu tunachukia chama flani tu. Tukipige chini mengine baadaye. TUMECHOKAAAAaaaaa. 54 years si mchezo, halafu yasivyo na aibu yanatuambia ati tuwape tena 5 yrs. TUMECHOKAAAAAAaaaaa

Nyie hamjachoka chochote. Waliochoka hujitahidi kuwa makini wasikosee tena. Nyie mnataka kulikoroga zaidi na huku kunaitwa kuchanganyikiwa. Hatuwezi kuongozwa na watu dizaini hii. Chagua Magufuli
 
Hali ni mbaya sana kwa CCM sikuwah kuwaza kama itakuwa hivi hasa kwa kipindi hiki
 
Hakika mwaka huu ni wa “Mabadiliko” maana CCM wametumia na bado watatumia mbinu nyiingi bila Kufanikiwa kuyazuia Mabadiliko yatokanayo na Watu waliochoka ahadi za Maisha Bora kwa miaka nenda rudi !!Mfano;
1. Wamenunua vyombo vya habari kama Magazeti,Vituo vya Redio na Runinga na Blogs lakini wapi!!
2. Wamenunua Viongozi Waandamizi wa vyama vya Upinzani kudhoofisha Mabadiliko lakini wapi!!
3. Wamenunua Wasanii wa Maigizo,Wanamichezo na Wanamuziki wa Kizazi Kipya kuwavuta vijana lakini wapi!!
4. Wametoa vitisho kwa watu wanaopenda mabadiliko vijana na wakina mama lakini wapi!!
5. Wamepenyeza watu kudhoofisha upinzani katika vyama na kwa Wanaharakati lakini hollaa!!
6. Wamejaribu kuzusha tuhuma mbalimbali kwa Viongozi wa “Mabadiliko” lakini wapiii!!
7. Wametumia vyombo vya dola kuzima “Mabadiliko” kwa kuwakamata na kuwasweka ndani na kuwafungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu wana Mabadiliko lakini wapiiiii!!
8. Wameunda Kamati ya watu 32 maalumu kwa ajili ya kuporomosha matusi na kuzusha tuhuma za ufisadi kwa Lowassa na wana “Mabadiliko” Lakini wapiiii!!
9. Waliapa kutokutumia Helkopta katika Uchaguzi wa Mwaka huu kwa kusingizio wanataka kupita kila kata kwa wapiga kura lakini wapiiii!!
10. Wameandaa tafiti feki za Twawezwa na Ipsos pamoja na mdahalo kuwalaghai wana “Mabadiliko” lakini wapi!!
11. Wametumia Mamilioni kuwalaghai watumishi wa Umma kama Polisi waliowatelekeza siku nyingi kwa kuwapa posho nono na ahadi lukuki za vyeo lakini wapiiii!!
12. Wamejaribu kuwalaghai walimu ambao waliwasahau miaka nenda rudi na sasa wameahidi kuwalipa baadhi ya madai yao lakini wapiii!!
13. Wamejaribu kutoa kuwaondoa baadhi ya Watumishi wa idara Muhimu zinazohusika na uchaguzi ili kujenga hofu na kuandaa mipango miovu lakini wapi!!
14. Wamejaribu kuwatumia Vingozi wastaafu kuomba Huruma kwa Wananchi waliowaacha katika Umaskini mkubwa,maradhi na ujinga huku wakiwakejeli lakini wapiiii!!
15. Wamejaribu kuwazuia Wapinzani kutumia Viwanja vyao na Sehemu mbalimbali kwa ajili ya Kampeni lakini wapiiii!!
16. Wamejaribu kutumia ulaghai wa kuwavalisha wafuasi wao mavazi ya Upinzani ili wawakatate Viongozi wa Upinzani eti kuonesha kumeguka kwa Upinzani lakini wapi!!
17. Wamejaribu kupanga njama za kuwadhuru Viongozi wa Upinzani kwa namna mbalimbali lakini wapiii?
18. Wamejaribu kutumia Matamasha,Makongamano,Mikutano,Semina,Maandamano,Mikusanyiko,Matamko,na Warsha mbalimbali kubadili hisia za Wananchi dhidi ya Mabadiliko lakini wapiiiiiiiiiiiiiii!!!
19. Wamejaribu kupanga Mapinduzi hewa ya Kuwapindua Viongozi wa Upinzani kuonesha kumeguka kwa Umoja wa UKAWA lakini wapiii!!
20. Wamejaribu kupiga push ups,kuongea lugha za makabila mbalimbali,kucheza rhumba,kuandaa fiesta na Kufunga milango watu wasiondoke Viwanjani baada ya Fiesa lakini waaapi!!
21. Wamejaribu kusomba watu kwa malori,pikipiki,bajaji,Mabasi kutoka Mkutano mmoja hadi mwingie kujaza mikutano kuwahadaa wana “Mabadiliko”Lakini waaapi!!!
22. Kuzuia post za Ki “Mabadiliko” katika Mitandao ya Kijamiii kama JF,FB,Twitter, na Kuwa Block wanao post Mabadiliko ..Lakini wapiiii!!
23. Wamejaribu kuwashinikiza waajiri kuwafukuza Wafanyakazi wao wanaopenda Mabadiliko ili kuwatisha wengineo Lakini waapiii!!
24. Wamejaribu kurusha ndege za Kivita ili kuwatisha wananchi dhidi ya Mabadiliko pamoja na kuonesha Picha za Machafuko katika nchi mbalimbali na kufananisha Mabadiliko na Kuwait na Iraq lakini waaapiiii!!!!
25. Wanajaribu kutengeneza “Goli la Mkono” kwa takwimu za wapiga kura na kuzuia Wapinzani kuhakiki taarifa sahihi za Vifaa na Daftari kwa wakati lakini wapiiiiii!!
26. Wamejaribu kuzindua Miradi iliyokwisha zinduliwa zamani pamoja na Miradi hewa ama ambayo hata haijaanza kuwarubuni wananchi lakini wapi!!!!
27. Wamezindua magari 777 ya polisi pamoja na kuzindua uwanja wa ndege wa Ngerengere kwa ajili ya kuwatisha Wananchi wasibaki kulinda kura zao Vituoni lakini wapiiii!!
28. Wameshindwa kuvunja Baraza la Mawaziri pamoja na kuendelea kutea wakuu wa Wilaya,Mikoa na Taasisi mbalimbali pamoja na kuwaondoa wale wanaoshabikia “Mabadiliko” lakini wapiiiiii!!
29. Wamewatumia watu maarufu kama mama Maria Nyerere na wengine kumuunga mkono Magufuli lakini wapiiiiiii!!
30. Na bado ndani ya siku zilizobakia watakuja na mbinu mbalimbali tena huenda zikawa ni mbaya zaidi na zenye dalili ya uvunjifu wa AMANI na UTULIVU wa Nchi ili mradi wazuie “Mabadiliko” ninaamini kwa Msaada wa MUNGU watashindwa na kulegea!!!!
Mimi nitampigia kura yangu ya thamani “EDWARD NGOYAI LOWASSA” pamoja na “Diwani na “Mbunge” wa UKAWA!!..Kwa maisha bora ya kwako nay a Kizazi chako Ondoa CCM,kwani imeishiwa pumzi!!!! “ALUTA Continua, Victoria Ascerta”.... “The Struggle Continues, Victory is Certain”; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!

Umeandika mambo meeengi ya kujifurahisha na kujipa moyo mwenyewe hivi huoni aibu. Jifunze kuwa na moyo mgumu kama chadema asilia kwa sababj tulishakubali matokeo zamani na tunajua tunakwenda kushindwa uchaguzi. Lakini kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi unajua.
Siai tumesha azimia kura zetu haziwezi potea bure., hatuwezi mpa fisadi ma group lake kamwe. Tutampa kura Magufuli na baada ya hapi tutanyooshana kwanzaaaa mpaka kunyooke. Baada ya hapo nadhani tutakuwa tumejifunza kitu fulani kikubwa.
 
Sasa kama ameondoka Dr Slaa na amepuuzwa nani mwingine tena aliyekuwa na ushawishi pale Chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom