Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Akili za watanzania ukifikilia unabaki unawahurumia tu!!yaani unaongea bila evidence wala fact,na bado unajiona ni binadamu uliyekamilika?!!! Kinachowaweza watanzania ni ccm tu,na kinawagruza kama chapati...
almost product zote za mohamed enterprise za upande wa vyakula ni batili. hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kiwanda moja wapo cha Mo.

unaambiwa hata yale maji yao ni batili. kaa mbali na badhaa za vyakula vya Mo.
 
sawa
Akili za watanzania ukifikilia unabaki unawahurumia tu!!yaani unaongea bila evidence wala fact,na bado unajiona ni binadamu uliyekamilika?!!! Kinachowaweza watanzania ni ccm tu,na kinawagruza kama chapati...
 
Hata pombe, soda, sigara, marijuana sio wote inawakubali wengne zinawakataa kwahyo sio kwamba ni mbovu pengne wewe ni mbovu
 
aise mm niliwah kunywa moja tu siku nzima ilikuwa ovyo mkuu mapigo ya moyo kasi na mwili ovyo.nikaacha mpaka leo.
 
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Mkuu mimi nilipatwa na shida, lakini ilikuwa ni maumivu juu ya mapaja, kifupi maumivu ya kiuno kwa ndani, kama vile maumivu ya mafigo??. Kuanzia siku hiyo sijaigusa tena, niliwaeleza wenzangu lakini wao walibaki kunishangaa tu.
 
Mnaambiwa kila siku hiv vinywaji vya energy si vizuri Huwa nawahurumia sn wanaokunywa redbull,inaua acheni.

Kunywa juice ya kutengeneza ya parachichi,embe,n.k
 
Kunywa masumu yako zama hizi c za vitu vitamu kwani huko hamna k vant
Makinikia
1562253900145.jpeg
 
Mkuu hii taarifa inaweza trend vipi wakati mwenye shida ni yeye peke yake?

Haya madude sio mazuri kiafya ila watu wanalazimishia tu.

Sidhani kama umenielewa.Hilo swali nilishaliona na kulidhibiti kwenye post yangu kama umetulia na kusoma vema.
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Mkuu ulichokisema kinanipata kwa asilimia 100 nikitumia hiyo mambo

Nadhani wataalam wa hizi likwidi waingilie kati
 
Hivi mfano koka, huwa wanaandika nutrition upande gani wa chupa?nami nisome.
Sina uhakika mkuu,cha muhimu ni kuwa kila unaponunua hivi vinywaji ni vizuri ukasoma Nutrition facts ili ujue ni kinywaji gani kinakufaa,mfano mimi kuna kipindi nilitumia sana kahawa ikaniletea shida ya hypertension,toka wakati huo ninaiogopa na nina miaka zaidi ya miaka15 sijawahi tumia kinywaji chenye caffeine...
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Mimi zile za azam ziliniletea afya mbovu.hivyo sinywi energy inayotengenezwa Tanzania
 
Ma
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Nachokiona hapo wewe ndio unamatatizo na si kinywaji.
 
Back
Top Bottom