Kinywaji cha Mo Extra ni energy drink au siyo?

kiraza

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
353
480
moo.jpg

Kitaalam Mo extra ni energy drink au siyo?

Na kama siyo kwanini watu wanaihisi kama ni Energy Drink?

Tunaomba msaada wa kikemia.

Nimecopy Moja ya Comments Huko Chini kutoka kwa America nigga.

"Energy drink ina sifa kuu ya kuleta nguvu na uchangamfu haraka kutokana na viungo vyake kama caffeine na sukari. Viungo hivi viwili ndiyo Msingi mkuu wa Kinywaji chochote cha Energy Drink.

Sasa twende kwenye Mo Extra ambayo kimsingi watu wanaiita kuwa ni Soft Drink. Pia katika chapa yake Imepewa jina hilo.
Ili kupata majibu ya swali hili tunatakiwa kutizama Viungo vinavyotumika kupata Ladha kamili ya kinywaji hiki, ambapo Sugar pamoja na Caffeine Vimeandikwa wazi kuwa vimewekwa.

Hiyo kwa uelewa wangu nitaiita Mo Extra ni Energy Drink kwa sababu ina Caffeine na Sugar."
 
Energy drink ina sifa kuu ya kuleta nguvu na uchangamfu haraka kutokana na viungo vyake kama caffeine na sukari. Viungo hivi viwili ndiyo Msingi mkuu wa Kinywaji chochote cha Energy Drink.

Sasa twende kwenye Mo Extra ambayo kimsingi watu wanaiita kuwa ni Soft Drink. Pia katika chapa yake Imepewa jina hilo.
Ili kupata majibu ya swali hili tunatakiwa kutizama Viungo vinavyotumika kupata Ladha kamili ya kinywaji hiki, ambapo Sugar pamoja na Caffeine Vimeandikwa wazi kuwa vimewekwa.

Hiyo kwa uelewa wangu nitaiita Mo Extra ni Energy Drink kwa sababu ina Caffeine na Sugar.
Nimeambatanisha na picha
20240317_105800.jpg
 
Energy drink ina sifa kuu ya kuleta nguvu na uchangamfu haraka kutokana na viungo vyake kama caffeine, sukari. Viungo hivi viwili ndiyo Msingi mkuu wa Kinywaji chochote cha Energy Drink.

Sasa twende kwenye Mo Extra ambayo kimsingi watu wanaiita kuwa ni Soft Drink. Pia katika chapa yake Imepewa jina hilo.
Ili kupata majibu ya swali hili tunatakiwa kutizama Viungo vinavyotumika kupata Ladha kamili ya kinywaji hiki, ambapo Sugar pamoja na Caffeine Vimeandikwa wazi kuwa vimewekwa.

Hiyo kwa uelewa wangu nitaiita Mo Extra ni Energy Drink kwa sababu ina Caffeine na Sugar.
Nimeambatanisha na picha View attachment 2936981
Umemaliza kila kitu boss, hata Mm Jana niliangalia ingredients nikashangaa kuona caffeine Bado ipo, watu msijipe moyo, mnaua figo
 
Back
Top Bottom