Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Vipi grand malt ina caffeine nayo?
Sina uhakika mkuu,cha muhimu ni kuwa kila unaponunua hivi vinywaji ni vizuri ukasoma Nutrition facts ili ujue ni kinywaji gani kinakufaa,mfano mimi kuna kipindi nilitumia sana kahawa ikaniletea shida ya hypertension,toka wakati huo ninaiogopa na nina miaka zaidi ya miaka15 sijawahi tumia kinywaji chenye caffeine...
 
Sasa mbona sampuli haitoshi? Unapaswa utumie mara kadhaa ndiyo walau uanze kutia shaka. Sasa mara moja huenda ulikuwa na shida zingine.

Pia, ni vema kama una hakika na hilo ukawaandikia wazalishaji ukiwakopi na TBS. Utamaduni huu haupo sana kwetu, wenzetu huko mbele wapo sharp,saa hii unakuta ni taarifa ishatrend CNN,BBC,ABC n.k.Sema ni vema ukawa na assumptions zinazoweza kuthibitishwa kitaalamu kuwa ni kweli ama si kweli.

Mkuu hii taarifa inaweza trend vipi wakati mwenye shida ni yeye peke yake?

Haya madude sio mazuri kiafya ila watu wanalazimishia tu.
 
Sijawahi kunywa kinywaji chochote cha energy labda fundo moja tu kwanza harufu yake tu kichwa kinauma
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
ukinywa hiyo kitu ukashushia na kitu cha arusha unaweza kulima heka mbili kwa jembe la mkono kwa siku moja
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Kaka acha hio kitu Mimi nimeshagundua ni sumu hatari sijui TBS wameipitishaje.... Mimi imetaka kunia kama ilivyokufanya we we Mara mbili nikagundua chanzo no hio. Mamlaka husika itusaidie
 
Mkuu mimi hutumia hizi energy kama kawaida ila sikuwahi kutumia mo energy, ndio mara ya kwanza jana

Hutumia red bull... Azam... Na draon
Jaribu tena ili uwe na uhakika kama ndicho kilicho kusababishia hali hiyo au ni vumbi la Kongo.
Usinywe vinywaji hivyo kama haujafanya kazi ngumu.
 
Mo extra sio energy drink. Soma ingredients ....berry flavored carbonated soft drink.... Amewapata watu baada ya kuanza na enegy drink watu hawastuka sasa hivi ni flavor tuu anauza ndio maana amebadilisha jina
 
Back
Top Bottom