Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

aisee nmekuelewa vizuri sana nitafanya hivyo
Sasa mbona sampuli haitoshi? Unapaswa utumie mara kadhaa ndiyo walau uanze kutia shaka. Sasa mara moja huenda ulikuwa na shida zingine.

Pia, ni vema kama una hakika na hilo ukawaandikia wazalishaji ukiwakopi na TBS. Utamaduni huu haupo sana kwetu, wenzetu huko mbele wapo sharp,saa hii unakuta ni taarifa ishatrend CNN,BBC,ABC n.k.Sema ni vema ukawa na assumptions zinazoweza kuthibitishwa kitaalamu kuwa ni kweli ama si kweli.
 
Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.

Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Ilikuaje mwenzetu?
 
Thanx kaka
EPUKA ENERGY DRINK ZOTE ! Hizo zinaitwa energy drink lakini kiuhalisia zina kemikali ambazo zinafanya moyo udunde haraka zaidi uwe kama mtu anayefanya mazoezi makali. Kama una tatizo la moyo au sukari au tatizo lingine la mwilini usinywe kabisa energy drink yoyote kuanzia red bull n.k.
 
Mtoa mada utakua na Dalili za Ugonjwa wa moyo....

Pressure ya kupanda na Caffeine ni tofauti.....angalau Caffeine inawafaa watu wenye pressure ya kushuka hata kama hawajijui....

Mm nakunywa Asubuhi moja, usiku moja hasa nikiwa na game, na hakuna Shida yoyote...
 
Pole sana, mm nljskia vbaya sanaa.. Mapigo ya moyo juu
Nilikunywa ghafla nikaanza kujisikia vibaya mnooo ....naona giza.... mapigo ya moyo yanaenda kasi si kawaida....kwenda hosp nikaambiwa nisirudie kunywa hicho kinywaji maana huwa na tatizo la presha ya kupanda kwa hiyo ni hatari sana kwangu.
.
 
Daaa mbna hatar hij
Kaka acha hio kitu Mimi nimeshagundua ni sumu hatari sijui TBS wameipitishaje.... Mimi imetaka kunia kama ilivyokufanya we we Mara mbili nikagundua chanzo no hio. Mamlaka husika itusaidie
 
Duuh mi zaman nlkua nakunywa bottlembili za azam energy wakat wa mlo wa mchana na mlo wa usiku..
Mtoa mada utakua na Dalili za Ugonjwa wa moyo....

Pressure ya kupanda na Caffeine ni tofauti.....angalau Caffeine inawafaa watu wenye pressure ya kushuka hata kama hawajijui....

Mm nakunywa Asubuhi moja, usiku moja hasa nikiwa na game, na hakuna Shida yoyote...
 
Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.

Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Watu wengi watakufa baadae kwa heart attack...nyie endeleeni kutengeneza maradhi miilini menu...
 
Halafu nilikua nakunywa kwa masifa yaani yale ya kidada, nakunywa hata 2 siku hiyo yakanikomesha ha ha ha ba
kwenye birthday yako ndani ya box nakuekea mo energy 3,red bull 4,mo fire 7
 
Back
Top Bottom