Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Mtoa mada utakua na Dalili za Ugonjwa wa moyo....

Pressure ya kupanda na Caffeine ni tofauti.....angalau Caffeine inawafaa watu wenye pressure ya kushuka hata kama hawajijui....

Mm nakunywa Asubuhi moja, usiku moja hasa nikiwa na game, na hakuna Shida yoyote...
Hawa ndio wanaokufaga wakiwa wanagegeda..
 
Mimi mwenyewe nashangaaga yana nini haya mavinywaji...hayana tofauti na pombe...
Mkuu acha kufananisha pombe na hizi taka taka za kuitwa energy drink kwanza sina sukari nyingi,makemikali kibao,ila pombe kama bia ni kitu cha Hops, Co2,Wheat/Sorghum/Millet/Malta, water ,hizi zote ni nafaka plus nutrients
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Mm kila nikinywa hii kitu naharisha sana ishanitokea mara 2 na nikaapa sitawah kunywa tena eneji yoyote ile
 
Sana na kushauri upuka hivi vinywaji ni hatari sana maana watu afya zetu zinatofautiana. na sio Mo energy vyote venye Cafeine juu ni hatari sana nilishawahi kujaribu kweli unapata energy lakini mapigo ya moyo yanaongezeka.
Hilo la mapigo ya moyo ndiyo lilinitokea mimi baada ya kunywa hicho kinywani.
 
Niliambiwa na doctor kuwa energy yenye usalama ni energy drink lakini masharti alionipa nikuwa ukinywa hicho kinywaji usichanganye na chochote hata kama ni maji na ukinywa usizidishe zaidi ya mbili
 
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...

Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...

Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo

Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....

Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?

Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
almost product zote za mohamed enterprise za upande wa vyakula ni batili. hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kiwanda moja wapo cha Mo.

unaambiwa hata yale maji yao ni batili. kaa mbali na badhaa za vyakula vya Mo.
 
Mkuu acha iyo kitu utakuja kufa bure ina nguvu sana na upaswi kunywa zaidi ya mbili au tatu kwa siku
 
Back
Top Bottom