Tunaogopa dhambi kunywa bia.Huwa nashangaa wanakunywa hayo sijui ma ernegy
Hawajui hiyo ni sumu Mara kumi unywe bia
HowNina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.
Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Sasa jamani...majani ya chai hayana caffein kweli...vipi kuhusu kahawa je?
Mnaambiwa kila siku hiv vinywaji vya energy si vizuri Huwa nawahurumia sn wanaokunywa redbull,inaua acheni.
Kunywa juice ya kutengeneza ya parachichi,embe,n.k
Kuna mtu anakunywa kila siku asipokunywa hujihisi vibaya
Yani Mimi kama sinywi pombe nakunywa maji au natural juice hayo maenergy sio kabisa.
Funguka zaidi kuanzia asubuhi mpaka unainywa ulifanya kazi gani?Nilikunywa ghafla nikaanza kujisikia vibaya mnooo ....naona giza.... mapigo ya moyo yanaenda kasi si kawaida....kwenda hosp nikaambiwa nisirudie kunywa hicho kinywaji maana huwa na tatizo la presha ya kupanda kwa hiyo ni hatari sana kwangu.
Kama kahawa ingekuwa na shida unayojaribu kueleza basi wengi wangeshaacha... Wewe mwili wako kushindwa kuhimili kahawa si kwa wote..Sina uhakika mkuu,cha muhimu ni kuwa kila unaponunua hivi vinywaji ni vizuri ukasoma Nutrition facts ili ujue ni kinywaji gani kinakufaa,mfano mimi kuna kipindi nilitumia sana kahawa ikaniletea shida ya hypertension,toka wakati huo ninaiogopa na nina miaka zaidi ya miaka15 sijawahi tumia kinywaji chenye caffeine...
Jarbu kupima PB huenda ikakusumbua huko mbeleniHiyo ya azam niliijaribu nikawa napata diziness ya kufa mtu. Naiogopa kama moto
People are killing themselves by drinking chemical beverages.
Mnaharibu DNA zenu na kuongeza free radicals.
Tumieni maji, fresh juices, matunda na mbogamboga.
Haah Mo anywe Mo energy? Jamaa anaangiza mvivyo kutoka Amerika, akitaka Juicy inatoka Nestlé S.A...Sidhani kama yeye mwenyewe anatumiaga hiki kinywaji
Wasitumia caffein na wanaoshabikia YANGA vinawasumbua sana hivi vi Mo XtraHabari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
kwahiyo kumbe ARV nazo ni mjanga mkuu ?Hiyo ni sawa na ARV, zinaua Moyo, Ini na Figo.