Kinyamkera?

Kinyamkera?

Mwanzo nilikuwa mbishi sana juu ya uwepo wa hivi viumbe...lakini kuna cku 2003 nilikutana nsvyo viwili...lakini vile vilikuwa vifupi sana tofauti na hiki!

Ilikuwa ni usiku wa 03:00am!
 
Ni kweli kabisa vinyamkera ni vifupi sana na hiyo ndio mida yake
 
Ni kweli kabisa vinyamkera ni vifupi sana

Ni kweli mkuu, from your knowledge...je hawa ndio misukule? Km jibu ni hapana, je wana uhusiano gani na binadamu wa kawaida??? Wanakula nn? Wanaishi ktk mazingira gani?😕
 
end-times.jpg
 
Hivi sio misukule bali vinaingia kwenye wanyama wa ajabu hawa ni Kama kundi la alliens
 
Hivi Vijitu Vinakula Nini?

khee hicho kinafanyaga nini?

Kinaiba ela:sly:

Tumsubiri mshana jr aje atupe somo!

Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia
 
Last edited by a moderator:
Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia
sasa vinaweza kuingia ndani kwa miugiza ? au kwa njia kama za mashetani au majini"?
 
Back
Top Bottom