Kinyamkera?

Kinyamkera?

Watuibie hela aisee huo ndio mpango

mkuu neno linye na pesa basi

hivyo vingi mimi sina kichaka cha kuwaweka wengi hivyo

Hahhhhhaaaa khaaa

Msivichukulie poa Vina mambo mengi 1440598127649.jpg
 
Mwanzo nilikuwa mbishi sana juu ya uwepo wa hivi viumbe...lakini kuna cku 2003 nilikutana nsvyo viwili...lakini vile vilikuwa vifupi sana tofauti na hiki!

Ilikuwa ni usiku wa 03:00am!

Wap ilikuwa mkuuu
 
Hahaaa mama alikua nikimkera ananiita kinyamkera duuh!!
 
Mmmh binadamu wengine tuu ukiona hyo nanihii zao unaanza kusali sala ya jioni hata kama ilikua mchana,,huyo si ntawahi mbinguni mapema??

Hahahaaa Hahahaaa Hahahaaa JF JF JF shikamoo JF
 
Back
Top Bottom