Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,725
- 830,789
- Thread starter
- #101
miss gisenyi hii ni zaidi ya kucheka hii ni vunja mbavu+We cheka tuu
Last edited by a moderator:
miss gisenyi hii ni zaidi ya kucheka hii ni vunja mbavu+We cheka tuu
miss gisenyi hii ni zaidi ya kucheka hii ni vunja mbavu+
Utakuwa na rambo wewe sio bure...
Huko miguuni mbona hapasomeki???Kama viganja vya mikono!
Mm nimewahi pia kukutana na jini nikiwa darasa la4
Vitu vya kawaida sana.... mshana jr anashinda navyo kila siku..
😱😱😱😱😕😕😱
Mkuu kuna mambo mengine usiombee ukutane nayo ktk maisha yako...yana athari sana!