kinipitie mbali... ila naweza kuniibia pesa bank
Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia
Hahaha du! vitukoHalafu angalia naniliu yake alivyojaaliwa
basi sawa mkuuHapana hivi mara nyingi vinakuwa kwenye misitu madaraja sehemu ambazo hakuna watu nk
nipewe vitatuTuanzishe huo mrad jiran viwe vinatuibia hela benki:sly:
Hivi vidude ni troublemakers visumbufu na vinavyopenda mno kuwachokoza wanawake na vinapenda mno kufanya mauzauza lakini havina madhara kivile na ni vioga Saana...hupenda kufanya mambo yake kwa kushtukiza kujificha na kuvizia
nipewe vitatu
Mie sita aisee
Acheni vituko nyie mjue yani vidume wote wa JF ina maana hatuwezi mpaka mkatafute vinyamkera? miss chagga nina neno nawe
mkuu neno linye na pesa basiAcheni vituko nyie mjue yani vidume wote wa JF ina maana hatuwezi mpaka mkatafute vinyamkera? miss chagga nina neno nawe
hivyo vingi mimi sina kichaka cha kuwaweka wengi hivyoMie sita aisee
hivyo vingi mimi sina kichaka cha kuwaweka wengi hivyo