Kinyaa cha tongue kiss

hatari aise! Ni kweli mm sikumbuki lini nimemnyonya wife mate! Sasa naanza kupata picha ndo maana ndani ya game wanaume wengi wanapiga kimoko then kwa heri coz mambo madogo kama haya na muhimu tunayaacha! Mapenzi uchafu bana ss km kunyonya denda ni kinyaa na kule uvinza inakuwaje?
 
Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc

hahahahahahahah. nimecheka sana. nikweli mkuu watu wanaibukaga na kisamvu.
 
hahahah nanii kakwambia?tena mkizoeana ndo mnanyonyana mpaka pua! Ni mtazamo tu

afazali!! nilishaanza kuogopa eti,maana hiyo kitu is one of my favorate thing in this world. lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…