Kinyaa cha tongue kiss

Kinyaa cha tongue kiss

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,396
Reaction score
829,699
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?
 
Kwani wakati wa mapenzi motomoto yale mate ya mpenzi wako uayonyonya yakiwekwa kwenye kikombe unaweza kunywa?
 
Wengine tunakula saiz jamanii, We unaweza kunywa mate ya mtu...?
 
kumbeee! mkizoena hamnong'onezani midomoni jamani,mmmh!
 
Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc

Mmh hapo lazima uone kinyaaa
 
Kwani wakati wa mapenzi motomoto yale mate ya mpenzi wako uayonyonya yakiwekwa kwenye kikombe unaweza kunywa?

Ahahahaaa yawekwe kwe kikombe kwan ni chai ile jaman mmh
 
1514645_631119886925709_2005115904_n.jpg
13591_482329001877419_541230571_n.jpg

Africans-and-kissing.jpg
 
Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc

Khaaaa........ Yaaani mpaka mwili wote umenisisimka kwa kinyaaa..!
 
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?

............................. kuzoeana ............................ though mimi nadhani nitaendelea hadi kifo kitakaponitenganisha na mwenza wangu
 
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?

Kuna kitu sikijui ama nini!!!!?????

Hiyo ladha ya mate ni kuwa yeye hamezi yake mpaka yajae kinywani ama nini!!!?????

Kongosho na King'asti, Cyan6, badiebey hebu njooni mumfundishe huyu maasai mshamba!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?

Duh yaani ume hit point, nikweli kabisa unayosema...nakubaliana na wewe asilimia 100
 
Back
Top Bottom