Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wote wanaosema jamaa alipora silaha em tupeni ushahidi, ina maana alipora bila kuwaua hao police aliowapora silaha.?
C alisema anawatafuta police sasa ilikuwaje apore silaha halafu awaache hao police aliowapora silaha.?
Jamaa alikuwa na silaha zaidi ya mbili, sasa police wa kwanza alivoporwa silaha huyo police mwingine akawa anaangalia tuu.?
 
Ww jamaa bhana em chunguza system yako wa akili kama ziko sawa
 
Hata Kama alidhurumiwa kitendo cha kushambulia polisi na kubeba silaha ya kivita alijiweka kwenye nafasi ya kushambuliwa pia
 
NImeonaa JAMAA MMOJA KATOA.MAWAZO KAMA HAYA PIA AKASEMA KAMA SIO DHULUMA BASI NDUGU ZAKE WAMEMCHEZEA ILA.UKWELI UTAWEKWA HADHARANI??
WASOMALI HAWANA MAMBO YA KUCHEZEANA, KAWAIDA, KITU KAMA DUKANI KWAKE HAKUNA BASI ATAKUELEKEZA DUKA LA MWENZAKE AU ATAKWENDA KUKUCHUKULIA HASWA, NI WATU AMBAO WANAPENDA KUBEBANA SANA, SASA HAWA NDUGU HAWAWEZI KUMFANYIA NDUGU YAO HATA SIKU MOJA.
 

Acha ujuaji! Chunguza kwanza jambo kabla hujakosoa watu.

 
Mtego mbaya ni tukisema ni gaidi basi italazimisha tutaje anatokea kundi gani na pale tutakapolitaja tu hilo kundi basi ndio tutakuwa tumelikaribisha rasmi Tz kuja kulipa kisasi cha mwenzao.

Hili linaitaji tu 'play smart' sana sio dogo hata kidogo. Naamini vyombo vyetu vinalifahamu hili.
 
Mkuu umeupiga mwingi, kwa taarifa zinazotajwa mpaka sasa yule ni mshambulizi,

1. Hawezi kuwa jambazi kwa sababu mpaka sasa hatujaambiwa mali alizopora...
100% Mkuu, Masoud Masoud aliwahi kusema waanfishi habari wengi Bongo hawana ufahamu wa mambo. Leo nazidi kumuamini.

Yaani unamsikiliza mtangazaji redioni anakomalia JAMBAZI, JAMBAZI, JAMBAZI.
 
Huyo gaidi kavaa magwanda ya chadema.

 
Mpigie Selemani 0715132277 atakupa ukweli wote yeye husindikizana na Hamza kwenye soko la madini
 
Jeshi la polisi wasibebane ktk hili inaonekana huyu Bwana kafanyiwa dhuluma na polisi ndio maana hakuwa na shida la Raia Bali polisi ili kulipiza kisasi. Ni polisi akina Nani hao wamemfanyia dhuruma? ...Ni muda Sasa Rais kumwondoa sirro na waandamizi wengine kulisafisha....Kama watu wanadhulumiwa na kuona solution Ni kupambana kwa risasi Basi tunajenga Taifa jipya kabisa.
 
Inasikitisha sana kwa askari kuporwa silaha ,askari inatakiwa ume active ,kama umeshika mtutu inatakiwa 20m mtu unammonitor anavyokuapproach,ukimuona haeleweki unamuamuru Hands Up akikaidi inapiga moja kwa hewa kisha ukimuona anataka kuchukua kitu mfukoni unawesha ya mguu kisha unamuattach fasta.

Polisi inabidi warudi mafunzoni,yaani jamaa anatamba dakika 30 nzima na askari wapo kibao wanaogopa,check baada ya jamaa kudongoka ndani ya dakika wakajitokeza askari kanzu wenye mitutu na wa mavazi kama 50 hivi,yaani inashangaza walikuwa kibao lakini walikuwa wanamuogopa jamaa mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…