Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Wazee wengine mpaka aibu. Mtu wa aina yake ilikuwa awe anatumiA Muda wake mwingi kuainisha matatizo na changamoto za nchi hii na kutoa sifa za mtu anayefaa kuwa rais.

Lakini anafanya kinyume.

Hata Mtoto mdogo anajua nchi hii kuna ufisadi wa kutisha na ndio unaiharibu nchi. Halafu anasimama bila ya aibu kumpigia debe mtuhumiwa namba moja wa hizo kashfa
 
Mzee Kingunge na Lowassa are birds of the same feathers.They 'fly' together, 'chirp'
together.Kingunge's statement of support for Lowassa come as no surprise to
me but a doubtless confirmation that Lowassa's bid for presidency and all the
noisy support for the bid is a struggle to install a special class for special activities!
 
Huyu mzee familia yake tu imemshinda.Angalia yule mwenye jina la chifu wa kabila moja hapa nchini aliyewatuma yule video modo na ndugi yake sauzi,ndio karithi akili za baba yake.Baba ufisadi mtoto ngada kuna mlezi mule kweli,huyohuyo anataka kutuletea fisad mwenzake,
Mjumbe hauwawi isitoshe huyo mzee ni mnafiki tu.
 
ukawa na wao wameniangusha mno kwani walishindwa kung'amua mtego mkubwa ambao ccm wamewafanyia ukiwa ni wa kimkakati haswa na mpaka waje kushtuka wazungu husema " it is too late ". unawaacha ccm watiririke tu kuchukua fomu huku vtombo vyote vya habari vikiwa navyo vimetekwa kwa kufanya agenda setting ambayo inawapa coverage ya kutosha ccm kama ccm na hao watangaza nia kwa kipindi cha miezi miwili na nusu unategemea nini? na hata kama ukawa watasema kuwa wanangojea ccm imtangaze mgombea ndiyo wao waanze kuamka bado haitawasaidia kivile kwani ninavyowajua ccm kwa mipango, mbinu na mikakati hata baada tu ya hiyo july 12, 2015 watahakikisha wanazidi kukamata airwaves zote za media hapa tanzania na kuzidi kukipa chama publicity kitu ambacho kitawasaidia kwa kiasi kikubwa tu. ukawa ile msemo wa wahenga wa " aliye juu mngoje chini " umewaangusha na utawaponza na badala yake mngeubadilisha huo msema na kuwa " aliyejuu mpandie huko huko ng'adu kwa ng'adu ". ushauri wa bure tu kama mtanzania mwema nisiye na upande nawashaurini ukawa sasa nguvu zenu nyingi ziwekeni kuchukua majimbo mengi ya ubunge ili muwe wengi bungeni kuzidi wabunge wa ccm na hapo nadhani mtakuwa na nguvu kubwa ya kuiwajibisha serikali na nchi itakaa sawa ila kwa upande wa nafasi ya urais nasikitika kusema kwamba " mtashindana tu lakini hamtashinda " na hii ni kutokana na mapungufu makubwa ya kimkakati mliyoyafanya.

Wewe suruhisha mpasuko ndani ya chama chako ccm,habari za ukawa waachie wana ukawa
 
Nafurahi kumuona Kingunge aliyekabidhiwa jukumu la kukoroga zege kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli, anamaamuzi ya kupunguza au kuongeza cement kwenye zege hiyo.
 
Hiki kizee ndivyo kilivyolelewa ndani ya ccm. Kilikuwa na sauti ya mwisho kwenye maamuzi mengi ya chama na serkali. Ni mmojawapo wakuu waliyoifikisha nchi hapa tulipo na matatizo chungu nzima. Kwa sasa bado anafikiri ndiye pekee anaweza kutoa maamuzi na akasikilizwa, mbaya zaidi kameanza kufanya ufisadi. ccm fanyeni maamuzi ya busara na mtoe ujumbe kwa huyu babu kuwa wakati wake umepita, sasa ni kizazi kingine
 
Kwanini hafi huyu mzee..

Kwa sababu ndiyo mganga wa CCM anayeturoga kila siku tunairudisha CCM madarakani! Pamoja na CCM kutufanyia madhila chungu nzima lakini tunasahau na kuendelea kuikumbatia kisha kuipa kura! Huja huyu Mzee Kingunge anatupa "limbwata" hatujitambui tunaing'ang'ania CCM, Ova
 
Nafurahi kumuona Kingunge aliyekabidhiwa jukumu la kukoroga zege kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli, anamaamuzi ya kupunguza au kuongeza cement kwenye zege hiyo.

Hayo yote ni kwa sababu ya UKAWA na hasa CHADEMA, hawa watu ndiyo wameacha tunafarakana kwenye Chama Chetu! Nitamwambia tu huyu Kingunge aifute UKAWA na hasa CHADEMA ndiyo Chama kitakuwa na nafuu vinginevyo tutakoma! Ukawa ni watu wabaya sana kwanza ndiyo wameleta umasikini nchi hii hawapaswi kabisa kuwepo mwezi Oktoba!
 
Back
Top Bottom