Tatizo ambalo Watanzania hawajali appreciate ni kwamba kinachopiganiwa leo hii sio MTU bali ni MFUMO CCM
Ukichagua CCM umechagua business as usual
Ukichagua Lowassa amechagua business as usual
Ukichagua CCM umechagua North Korea, ukichagua UKAWA umechagua South Korea.
Wakati tunaumiza akili jinsi ya kupunguza UKUBWA wa baraza la mawaziri. Lowassa (CCM) anaongelea kuongeza UKUBWA wa baraza la mawaziri.
Sitashangaa kama Lowassa akienda Monduli akaahidi kuunda Wizara ya kushughulikia kero za WAMASAI!
Watanzania kama tunamkataa SHETANI basi tumkatae na mambo yake yote.