Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,249
- 98,243
Muda utajibu
Hiyo yote ni njia za kuwaingiza ukawa magogoni,mungu akitaka jambo hakuna mtu wa kupinga
Muda utajibu
hawatakubali na nani? nao ni akina nani? na akikatwa watafanyaje?
Aliyesema ng'ombe hazeeki maini alikosea.................
"MANY PEOPLE ARE ALIVE ONLY BECAUSE IT IS ILLEGAL TO SHOOT THEM" huyu mzee ni mmoja wapo.
SASA NANI ATAKUBALI JINA LAKE LIKATWE???? Chukulia mfano kila mtangaza nia hatakubali jina lake likatwe itakuwaje.
Alitakiwa awe neutral kama mlezi wa watia nia wote, badala yake ndo kwanza anazidi kukimega chama kwa kuimarisha makundi.
Kada maarufu wa CCM,mzee Kingunge, amesema hawatakubali kuona jina la Lowassa linakatwa.
Chanzo: Nipashe
Kuu vita ya panzi hiiyoooooohaa haa kingunge mwaka huu amedhamiria kufa na lowasa. jk tumbo joto. chezea nguvu ya mafisadi wewe. ccm wakijichanganya kumpitisha lowasa tano bora imekula kwao. utakuwa ni ushindi wa kimbunga kwenye mkutano mkuu...
Hivi Kingunge na Warioba nani mnene?
Unatuambia nini Chadema hapa?
Kada maarufu wa CCM,mzee Kingunge, amesema hawatakubali kuona jina la Lowassa linakatwa.
Chanzo: Nipashe
Kada maarufu wa CCM,mzee Kingunge, amesema hawatakubali kuona jina la Lowassa linakatwa.
Chanzo: Nipashe
Wafuasi wa Lowasa mjiandae kisaikolojia.Huyo mtu wenu hawezi kuwa na nguvu kuliko wenye dolaThubuutu!ndani ya ccm hakuna mwenye jeuri ya kumkata lowasa,ref,kingunge jana
Alikuibia nini? Uliathirikaje na "wizi" huo?Kibaka ni kibaka tu.