Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Acha kuweweseka hakuna wa kufanya hvyo!
Ukawa hoyeeeeeeere
Acha kuweweseka hakuna wa kufanya hvyo!
Nawaza kama watu wanaijuwa serikali, nawaza kama watanzania wanajuwa kuwa hili taifa linawatu na mataifa wanayo saidia ktk ulinzi na usalama. Hili ni taifa lenye heshima na dunia nzima wanajuwa haiwezekani na mpaka hata Yesu anarudi watu ama mtu kuingia ikulu kwa ajenda ama masilah binafsi bila mamlaka zilizopo kuchukua hatuwa. Kweli ni bora watu wakae kimya kumsubiri Rais ajaye pasipo kuapizana nani anajuwa kuwa Lowasa hakatwi jina?
Hata asipokatwa, Wananchi tutamkata kwenye sanduku la kura, haiwezekani fisadi aende Ikulu.
Kama itabidi akatwe atakatwa na atatulia hana ujanja wowote
Ufisadi gani aliofanya?
Watu hawataki kuamini ukweli kwamba nje ya ccm mwizi lowasa hawezi kufurukuta.Kama itabidi akatwe atakatwa na atatulia hana ujanja wowote
Sisi tunapanga ni namna gani ya kusheherekea ushindi wa makongoro
Hujui kuwa kingunge ndiye mwenye chama?
Thubuutu!ndani ya ccm hakuna mwenye jeuri ya kumkata lowasa,ref,kingunge jana
Wote watakuwa marais? Kukatwa ni Lazima
Asiyekubali kushindwa si mshindani
Hawatakubali yeye na nani? Hajui enzi zake zimeisha? Huyu Mzee sasa hivi hajitambui na hafuati tena misingi aliyoamini.
Nina mashaka na busara za huyu mzee inamaana kwakwe wakikatwa wengine sawa ila lowasa hapana.
Hili ndilo tatizo la kununuliwa uzeenu na mafisadi
Sisi tunapanga ni namna gani ya kusheherekea ushindi wa makongoro
Enzi Za Nyerere alikuwa mjamaa Safi.
Enzi Za Kikwete amekuwa fisadi mzuri.
Anajua kutumia fursa na kubadilika kutokana na mazingira.
safisana kingunge CCM,haiwezi kumkata mtu eti kwa kigezo cha sio mwadilifu.ni nani aliye mwaminfu ccm.waliopanga kuliibia shirika la umeme kupitia escrow na kufanikisha mpaka wafadhili wakasitisha misada leo wanamshoonyeshea mkono Edo.kingunge hongera akikwatwa mtu lazima pachimbike