Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Ni ili kurahisisha utatuzi wa matatizo lukuki ya jiji la Dar, kwamba waziri akilala akiamka anatoa maamuzi ya haraka kwa manufaa ya wananch. Sambamba na hilo kila mwaka zitajengwa nyumba millioni moja kuendana na sera itakayotungwa kwa ajili ya jiji hilo. Nipashe siku ya leo.
 
Kama yeye anamtaka Lowasa awe raisi.....basi akamfanye kuwa raisi wa familia yake.... Lowasa atakatwa Kama hakidhi vigezo vya chama....kama kuchimbika wakachimbe nyumbani kwao yeye na Lowasa.....hana mamlaka ya kutupangia lolote kwenye taifa hili bali anabaki kama mshauri tu......
 
Ni ili kurahisisha utatuzi wa matatizo lukuki ya jiji la Dar, kwamba waziri akilala akiamka anatoa maamuzi ya haraka kwa manufaa ya wananch. Sambamba na hilo kila mwaka zitajengwa nyumba millioni moja kuendana na sera itakayotungwa kwa ajili ya jiji hilo. Nipashe siku ya leo.

Anatafuta wadhamini au anapiga Kampeni?
 
El akikatwa kuna madhara ndani ya chama asipokatwa kuna madhara, heri nusu shari kuliko shari kamili akili kumkichwa kwa viongozi na wahusika wote waliopewa mamlaka ya kuamua kazi yenu hii.

Kitu ambacho hawajui ni kwamba wasiomtaka lowasa ni Watanzania ambao ni wapigakura
 
Tazama SISIEMU inavojivunja yenyewe. Nauona mwisho wa SISIEMU sasa.
 
Nani kampa mamlaka ya kupiga kampeni? Chama kina utaratibu wa kutafuta udhamini na si unasimama tu barabarani then unaropoka unayoona yanafaa
 
Anatafuta wadhamini au anapiga Kampeni?

Keshapiga kampeni huyu akiteuliwa anamalizia kiuraisi tu tena hata wakimuacha peke yake ,jamaa anaongelea wamachinga , mama ntilie nk. Hata mikutano ya Kinana ya sasa ni kampeni, mkutano wa leo Mwanza unarushwa na TV zote
 
Atakatwa tuu kwani yeye nani?na hao watakaokatwa ni waakina nani kama nayeye sio mmoja wao.kila kundi likisema hiyvo itakuwaje?
 
Ni kwa sababu ya kukumbatiana mtu tangu.awamu ya kwanza yupo tu kana kwamba yeye asipokuwa kiongozi nchi itasimama, sasa wamejenga hulka mbaya ya kutaka kuamua tena kwa niaba ya wengine. . . . . Kama kasema hayo kweli basi anaonesha ni kwa kiasi gani nchi hii haifuati sheria wala taratibu ila matakwa tu. . . . . . .anatoa ujumbe mzito na mbaya sana

Pesa wakati mwingine hupofusha moyo na akili pia.....
 
Kampenjh wote wanapiga,tatizo lenu mna interest na na lowasa tu,membe hamumsiki jamani,?anasema atajenga viwanda morogoro,atajenga vyuo vya michezo nk tena ahadi kubwakuawa za matrilion yote haya hamuoni?atajenga viwanda vya alizet singida,manyara,atajenga viwanda vya nyama nk nk,fuatilieni wagombea wote mtajua wanavyojinadi hiyo sio kampeni ni wajibu aseme atawafanyia nini wa tz
 
Membe yeye alisema kama atachaguliwa atafunga kamera za siri jijini Dar es Salaam.
 
"Labda lengo lake anataka akatwe...anachafua hewa makusudi ili hayo yatimie...hana cha kupoteza"
 
Back
Top Bottom