Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Wewe Elibariki Kingu, kwa nini usiwashawishi wabunge wa chama chetu cha CCM mkatae kupokea mamilioni ya kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya ubunge nanyi msubiri hadi mfikishe miaka 60 ili hizo pesa zitumike kujenga viwanda? Acha cheap popularity ya kujipendekeza ili upate uteuzi, tunajua wewe ulikua timu Edo sasa hivi unatafuta umaarufu kwa mambo ya hovyo tu.
 
Anaaibisha Wenye akili huko Singida! Serikali inadaiwa na mifuko zaidi ya 8Trillion, Sasa anaedhoofisha hii mifuko Ni wenye wazo la fao la kujitoa au Serikali? Na je, michango ya Wanachama ndio Serikali inategemea kuanzishia Viwanda? Kwenye hiki kinachoitwa Uchumi wa Viwanda Nini jukumu la Serikali? Huyu anapaswa kupuuzwa tu!
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Tukisema binadamu wengine iq zao ziko low sana hamtuelewi, sasa linganisha huu upuuzi wa kingu -low iq jiwe kichaa sycophant na kilichoandikwa na fully evolved human being Tundu A.M. Lissu
 
Huyu kingu ni mbunge makini sana, anajua kujenga hoja na ni shupavu kweli kweli, tungekuwa na wabunge kama kingu tungekuwa mbali sana kimaendeleo,.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Je, Wabunge wao wanapata mafao yao kwa 25% kama raiya walivyofanyiwa na hii sheria mpya?????

Tuanzie hapo kwanza.
 
Kuna tusi nilikuwa nimeandika, nimeona nilifute. Kuna watu waliamua nchi iongozwe na mapaka shume na mafisi na hapa ndipo tulipofikia,hawajali,yajali ili iweje, yanapata kila kitu wengine mpaka suti za bure na siku yakiachia madaraka yatapata rundo lingine la fedha. Na kuna mafisi mengine yana bahati zaidi, yatalipwa mpaka yana kufa.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Kwa vile wewe ukitoka hapo unafungashiwa zigo lako la mafao haramu ndiyo maana unaleta upuuzi huu.
tapatalk_jpeg_1542528378399.jpg
downloadfile-2.jpg
FB_IMG_1542702311555.jpg
 
W
Kingu nimesoma na wewe japo nilikuwa mbele yako. Nilikuwa nakuamini lakini sikuwahi kuwaza kuwa wewebni mjinga kiasi hicho. Inakuwaje uwapangie watu matumizi ya pesa zao au upange bajeti zako za Vwanda kwa maumivu ya wenye pesa na kinyume na matakwa yao
Wadau, Mimi huwa nashangaa kwanini huwa tunawachagua mazombie kama hawa kuwa wawakilishi wetu bungeni, Poleni wana singida magharibi,
Hivi jitu Zima halioni hata aibu kusema eti wana mpango wa kujenga viwanda kwa kutegemea hela za mifuko ya hifadhi za jamii !!
Hizo hela ni za wanachama wa mifuko na si za serikali, hata mifuko yenyewe huwa inafanya makosa kuzitumia kwenye uwekezaji bila kuwa shirikisha wenye hela zao, mwisho wa siku mifuko ndio inayopata faida halafu mwanachama anapewa 1% Interest kwa mwaka,
Hao wabunge wao hufanya kazi miaka mitano wakimaliza wanapewa mafao yao, ambayo huwa hayakatwi kodi (Tax free)
Kwa nini wao wabunge wasichangie hizo hela waisaidie serikali kujenga hivyo viwanda,
Kwa nini watake hela za wafanyakazi ni si zao zikajenge viwanda ?
Hizo hela kwenye mifuko ya hifadhi zinatumika vibaya sana, Inafikia hatua mifuko ya hifadhi za jamii wanawakopesha mabenki hela za wanachama kwa riba ya asilimia chini ya 10 halafu mabenki wanakuja kuwakopesha wafanykazi kwa riba ya asilimia 18 mpaka 23
Unamwambia mfanyakazi asubiri afikishe miaka 60 ndio apate mafao yake na wakati serikali inakiri kwamba wastani wa umri wa watanzania ni miaka 45 !!
Lengo lao huwa sio zuri, wanajua wazi ukifikisha umri huo wa miaka 60 utakuwa umehoka vya kutosha huwezi kuwafuatilia kwa karibu na utakuwa umekaribia sana kufa,
Hizi kazi jamani zinatofautiana sana, kuna watu walikuwa wanafanya kazi migodini, mtu anapoteza ajira yake akiwa na miaka 35 kwa mfano kisha unamtaka asubiri miaka 25 ndio apate mafao yake !!
Hivyo viwanda tuliambiwa mmeshajenga 3000 naamini vinawatosha,
Achieni hizo hela za mafao ya wanaume wakazifanyie wanachotaka wao, hamkuwasaidia kuzichanga
 
Naweza nisiwe tofauti na wewe katika nia njema ya kuimarisha mifuko na uchumi wetu.

Naomba hicho mnachochukua baada ya miaka mitano ambacho ni 40% ya mishahara yote, mkiondoe katika gratuity Kwa kutunga sheria ili kiwekwe kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ili tukuze uchumi wetu. Hapo mtaeleweka.
Ukiongelea khs kukatwa hio 40% hao wabunge wote Wataongea kauli moja aisee.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Ungekua unabeba mimba ungejua uchungy wa kuzaa sio lazima.kila.kitu uongee unanitia hasira sana au kwakua ww haikuhusu?? Unajua ni watu wataathirika na wengine wanateseka sasa hivi na familia zao kwa kukosa hiyo hela yao waliyoitegemea kuendelezea maisha yao??? Leo unaropoka tuu
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Wadau, Mimi huwa nashangaa kwanini huwa tunawachagua mazombie kama hawa kuwa wawakilishi wetu bungeni, Poleni wana singida magharibi,
Hivi jitu Zima halioni hata aibu kusema eti wana mpango wa kujenga viwanda kwa kutegemea hela za mifuko ya hifadhi za jamii !!
Hizo hela ni za wanachama wa mifuko na si za serikali, hata mifuko yenyewe huwa inafanya makosa kuzitumia kwenye uwekezaji bila kuwa shirikisha wenye hela zao, mwisho wa siku mifuko ndio inayopata faida halafu mwanachama anapewa 1% Interest kwa mwaka,
Hao wabunge wao hufanya kazi miaka mitano wakimaliza wanapewa mafao yao, ambayo huwa hayakatwi kodi (Tax free)
Kwa nini wao wabunge wasichangie hizo hela waisaidie serikali kujenga hivyo viwanda,
Kwa nini watake hela za wafanyakazi ni si zao zikajenge viwanda ?
Hizo hela kwenye mifuko ya hifadhi zinatumika vibaya sana, Inafikia hatua mifuko ya hifadhi za jamii wanawakopesha mabenki hela za wanachama kwa riba ya asilimia chini ya 10 halafu mabenki wanakuja kuwakopesha wafanykazi kwa riba ya asilimia 18 mpaka 23
Unamwambia mfanyakazi asubiri afikishe miaka 60 ndio apate mafao yake na wakati serikali inakiri kwamba wastani wa umri wa watanzania ni miaka 45 !!
Lengo lao huwa sio zuri, wanajua wazi ukifikisha umri huo wa miaka 60 utakuwa umehoka vya kutosha huwezi kuwafuatilia kwa karibu na utakuwa umekaribia sana kufa,
Hizi kazi jamani zinatofautiana sana, kuna watu walikuwa wanafanya kazi migodini, mtu anapoteza ajira yake akiwa na miaka 35 kwa mfano kisha unamtaka asubiri miaka 25 ndio apate mafao yake !!
Hivyo viwanda tuliambiwa mmeshajenga 3000 naamini vinawatosha,
Achieni hizo hela za mafao ya wanaume wakazifanyie wanachotaka wao, hamkuwasaidia kuzichanga
 
Kingu, mtazamo wako ni wa kinafiki kupitiliza na huenda ndiyo sababu kuu ya ccm kuwanunua wapinzani ili waje kuwaongoza! Yaani unawaza kuyatumia mafao ya wazee wako na wadogo zako wakiositishiwa ajira kujenga viwanda huku za kwako ukisubiri kuwahonga vidosho!
Viwanda hivyo vitakuwa ni mali ya nani na kama ni vya wastaafu wataajiriwa humo baada ya kustaafu utumishi ili waendelee kumaintain kipato?
Unafiki wa wabunge wa ccm unaelekea ukingoni na kwa taarifa yao wafanyakazi mnaowadharau leo watahakikisha wanawanyoa bila maji 2020 na kwa kuanzia 2019! Natamani kuona ukibung'aa mtaani 2021.
 
Huyu kungu walau amekuwa na ujasiri wa kuja humu jukwaani kuanika hadharani msimamo wake. Kuanzia kinara wao ndugai na wabunge wooote wa ccm msimamo wao ndo huo wa kuunga mkono 'nia njema' ya jiwe
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West

Kingu ni.mnafiki sana umeona uuonyeshe unafiki wako leo fedha za Masikini Wanyonge Wazee wetu ndio Mifuko izikusanye ili iwekezwe kwenye kujenga viwanda? Mbona fedha za wabunge hazikusanywi popote kujenga viwanda?
 
Back
Top Bottom