Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Huyu yupo hapo kwa ubinafsi wake tu. Na hana analolijua yeye ana Habari za kusadikika. Eti makampuni makubwa ya madini yatakuja kupinga hilo fao la kujitoa, halafu yatakuja makampuni binasfi!! Sasa swali linakuja yanapingaje? Na nyie bungeni kwa uwingi wenu mmepitisha? Je, ni umri gani sahihi ambao nyie wabunge wa CCM mnaujua kuwa mstaafu anatakiwa apewe kiinua mgongo chake? Swali la mwisho, je akifa kabla hajafika huo umri wa kumpa hiyo 75% yake kitatokea nini? Kingu acha kutumika, ukajua kuishi kwako na hao wengine mlio ndani ya uzio mpaka 2020 ni mipango ya Mungu la hasha, ni neema tu kila mtu itamfika kwa wakati wake. Watanzania sio wajinga, mifuko ya jamii haijengi viwanda, maana zi hela sio zao. Zile hela ni makusanyo ya michango ya wanachama, sema kwakuwa watanzania ni wavivu hatu kujua jasho lao linatumika vipi. Lakini tukiweka mahesabu ya mgawo wanopata baada ya kustaafu, ni mlipuko wa kufa mtu. Acheni tu, siku itafika ambao kila goti litipigwa na ulimi kukiri huyu ndie Bwana!!
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West

Nilipoona Kichwa cha Habari nikajua ' Kumekucha ' kumbe ni mambo yale yale tu na ya kila uchao / siku.
 
Naweza nisiwe tofauti na wewe katika nia njema ya kuimarisha mifuko na uchumi wetu.

Naomba hicho mnachochukua baada ya miaka mitano ambacho ni 40% ya mishahara yote, mkiondoe katika gratuity Kwa kutunga sheria ili kiwekwe kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ili tukuze uchumi wetu. Hapo mtaeleweka.
 
Huyu Kingu anatafuta uwaziri kwa nguvu sana,sheria walizobadilisha kupitia bunge ni mateso kwa wastaafu, mshaurini Rais wenu kuwa creative kutafuta vyanzo vya mapato na kutengeneza sera nzuri zitakazo vutia uwekezaji, hamuezi kuendesha kwa hela za wastaafu na mikopo itafika mahali mtakwama tu si mida mrefu
 
Asivyo na haya eti anajenga hoja eti wenye migodi mikubwa wan lobby,waloby for what or which benefit,wao hayo mafao ya kujitoa hayawahusu yanatuhusu sisi,this is our money mr kingu ,serikali ishachukua chake bwana,nalipa PAYE kwa nini na hizi zangu mnatokea macho?
To be honest kwa hili serikali ya awamu ya tano imebugi,just imagine wafanya kazibwa migidi NGOs their job is not guarantied.
 
Huyu Kingu tunaomba kabisa bunge lijalo asirudi kabisa,ni mjinga sana....Kwakuwa yeye anamiliki mabasi,ana fedha za dhuluma mpaka kufikia kumnunulia mchepuko Range Rover na Kumfungulia "BUTIKI",kwakuwa yeye ameshiba mpaka kuvimbiwa hafikirii kabisa wanyonge,kama anaona ni sawa mbona haongelei kubadili sheria ya hayo mafao kwao wabunge,dc,rc,mawaziri etc?

anasema kwamba serikali ina nia kufanya mapinduzi ya viwanda kupitia mifuko,this is non-sense,serikali inamkata kodi mfanyakazi karibu 1/3 ya mshahara wake wote serikali inaondoka nayo kila mwezi,hapo hapo mfanyakazi akinunua kitu chochote unachokijua wewe analambwa tena 18% ya VAT,hii serikali inayojisifu inakusanay kodi hadi trion 1 nukta 4 kwa mwezi ikiwa inamaanisha kuna ongezeka ya zaidi ya bili 500 kwa mwezi mbapo kikwete alikuwa anakusanya bil 900.

Tangu aingia madarakani JPM hakuna alilofanya zaidi ya kutapakanya fedha kwa white elephants projects,yeye anaweza maendeleo ya vitu huku uchumi ukizidi kwenda hali jojo,madaraja ya nini wakati biashara za wanyonge zinakufa? Unajenga SGR,unajenga stegolaz ya nini? Huo umeme utatumika wapi wakati viwanda hakuna hivyo vya wanynge?

Kingu ni Moja ya wabunge wa ccm Zero Brain kuwahi kutokea yaani anatamka kabisa hadharani eti fedha za mifuko ya kijamii ni kuiwezesha serikali kujenga viwanda? kwa upuuzi wake tunaomba na kusali asirudi bungeni mwaka 2020 inshallah,tunataka akiwa mtaaani aje kuona hali halisi watu wanavyoteseka,akiwa mtaani nadhani tutaongea lugha moja.

Serikali rudisheni fedha za hifadhi mlizokopa zaidi ya 8Trilioni kwenye mifuko,enzi za jakaya mafao yalikuwa yanatoloewa vizuri tu tena ndani ya mwezi walikuwa wanatoa na pension kwa wastaafu ilikuwa inalipwa kwa wakati,huyo Jiwe wako anatakusanya fedha za kununua wapinzani wote na sio kuendeleza viwanda,angekuwa ana nia ya viwanda tungeona hata kiwanda kimoja kajenga,yeye kuleta miradi ambayo haina tija yoyte kwa mwananchi/mnyonge mf daraja la salenda full uptakanyaji wa fedha.

Wafanyakazi unganikeni pamoja kuipinga hiyo sheria mpya,ni sheria mbovu kuwahi kutokea,hizo fedha wanataka kununua wapinzani tu hakuna kiwanda chochote kitakachojengwa,JPM andhani kujenga madaraja,kununua midege ndio maendeleo,wanyonge wanataka fedha mifukoni ,wanyonge wanataka milo mitatu,wanyonge wanataka afya,wanyonge wanataka maji,wanyonge wanataka barabara,hiyo midege na salenda sio mda wake kwa sasa!!
 
Hali inajieleza
018.jpeg
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Wewe pension yako unasubiri miaka mingapi.

Natamani sheria isingekuwepo ndio ungejua nilichotaka kukoment.

Walalahoi tunahangaika kudunduliza visenti vyetu ilitununue hata kakiwanja humu secta binafsi we unakuja na hoja za.... Daah basitu, najuawasababu una maisha bora ndiomana hujui tulivyo chukizwa na hii ishu.
 
Back
Top Bottom