Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West

Kingu ni.mnafiki sana umeona uuonyeshe unafiki wako leo fedha za Masikini Wanyonge Wazee wetu ndio Mifuko izikusanye ili iwekezwe kwenye kujenga viwanda? Mbona fedha za wabunge hazikusanywi popote kujenga viwanda?
 
Tunaposema tatizo ni wabunge wa CCM watu wengine hata hawatuelewi. Huyu ni mmoja wa hao wengi. Kwa anavyoongea utafikiri hao wafanyakazi hawachangii PAYE, hizo hela wanazokatwa wafanyakazi kwa ajili ya kesho yao nazo wanasimama kabisa vifua mbele kuzipangia VIWANDA sijui vitu gani. Hivi huyo jamaa yeye akimaliza huo ubunge wake anaulizwa maswali ya hizo hela zake!!! Yani hawa watu wanaweza kusababisha TCRA wakakuweka ndani bure. Halafu tunaimba CCM itusaidie,kwa lipi kwa kupigia mahesabu hela isiyokuwa ya kwako!!! Haya ninyamaze maana yanataka kuja matusi.
 
Kingu, mtazamo wako ni wa kinafiki kupitiliza na huenda ndiyo sababu kuu ya ccm kuwanunua wapinzani ili waje kuwaongoza! Yaani unawaza kuyatumia mafao ya wazee wako na wadogo zako wakiositishiwa ajira kujenga viwanda huku za kwako ukisubiri kuwahonga vidosho!
Viwanda hivyo vitakuwa ni mali ya nani na kama ni vya wastaafu wataajiriwa humo baada ya kustaafu utumishi ili waendelee kumaintain kipato?
Unafiki wa wabunge wa ccm unaelekea ukingoni na kwa taarifa yao wafanyakazi mnaowadharau leo watahakikisha wanawanyoa bila maji 2020 na kwa kuanzia 2019! Natamani kuona ukibung'aa mtaani 2021.
Milioni 250 zake zinaishia kuwahonga Mademu Boutique na Range tu halafu za wadogo zake ajira zilizokoma na za mababa zake waliostaafu anataka zikaanzishe viwanda,yeye kwenye ajira anakopa hadi 600m,hapo hapo anapewa 90m na bunge hapo hapo wanapiga fedha za mifuko ya jimbo,hapo hapo fedha za lobbying kutoka serikalini,hapo hapo fedha za vikao,hapo hapo fedha za kamati,hapo hapo mishahara wa mili 12 halafu anataka wanyonge wanaolipwa laki 2 kwa mwezi ndio fedha zao zinkajenge viwanda,zake yeye akahonge "VIDOSHO"......Kweli aliyeshiba hamkumbuki Mwenye Njaa ipo siku tutaongea lugha moja na tutamkubusha tu,mungu kamwe hadhihakiwi
Irene.jpg
Irene1.jpg
Irene2.jpg
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
"Sijakuelewa Mh."
 
Mbona yeye asisubiri afikishe miaka 60 ndiyo ale bata?kila siku yupo china serengeti na totoz anakula bata.Jasho la mtu lije kusaidia kizazi kijacho????non sense
 
Ila mimi kama nimemwelewa mno lengo lake ni zuri mno mkuu
...anajua hili litaliangusha Jiwe mchana kweupe,na kwasabb naye anataka Jiwe lishindwe basi anachochea hasira za watu/wafanyakazi ili ziamke na kutoa majibu ambayo kamwe Jiwe hakuyatarajia
....yajayo yanafurahisha
Inawezekana Mkuu
 
Mimi nilidhani mifuko ya kijamii ilikuwa imelazimika kutafuta njia za kujinusuru baada ya kukopwa sana na serikali na ndio msingi wa haya mabadiliko makubwa. Kumbe ndio haya? Hatari kubwa sana. Sidhani haya kweli ni maamuzi ya vikao halali; labda ni ya kitchen cabinet!
 
Huyu ametumwa kuja kupima upepo lakini kwa comments za hili bandiko nadhani atakuwa ameshapata majibu watu wapo katika hali gani juu ya hili limsheria kandamizi lililopotishwa kwa wafanyakazi.....haiwezekani tumpembejee kafiri alafu tuishi masikini
Nakushauri ukamwambie aliekutumua kuwa pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii sio pesa za kujengea viwanda, anachotakiwa kutengeza Sera nzuri zenye kumpa muwekezaji mazingira mazuri ya kuwekeza juu ya biashara yake.
 
Tatizo lako huna akili na sijui huo ubunge uliupataje

Back
Top Bottom