Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Huyu ni miongoni mwa Wabunge "wa hovyo'' katika huu udhalimu wa Serikali dhidi ya wanachama wa mifuko ya Jamíi.

Fao Hilo la "Kujitoa" lilikuwapo hata Kabla Huyu Wa Sasa hajawa "Rahisi" Sasa ni kwa vipi uwepo wa fao Hilo umuhujumu yeye na Urahisi wake?

Mbona Rais mtangulizi wake hakuhujumika kwa uwepo wa fao Hilo?
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West

Masikini nchi yetu Tanzania imeingiliwa haya ndio mawazo ya mbunge ya kuwatetea wanyonge wa nchi hii,ni kilio hawa wameshiba tayari,kilio,kilio,kiliotuende wapi sisi wanyonge
 
Hakika kuwa na wabunge wa hovyo kama hawa nikipimo tosha cha ujinga wa watu wetu.
Ni hakika kabisa, kwa sababu ni sisi wenyewe ndo tumewachagua. Acha watunyoe vizuri, labda akili zitatukaa vizuri tukafikiri kwa akili kubwa 2020.
 
Linathamini vitu kuliko utu.Si mlisema tayari mna viwanda elfu nne!havijatosha bado?Halafu hivi viwanda mtakavyojenga ownership yake ni nani,Jeshi?Ujamaa ni sera ya kimaskini na naona mnazidi kukimbilia huko at the expense of hardworkers'money.Tukutane 2020
 
Huyu msingida makalio yake kabisaaa
Hv anajua uchungu tulio nao
Anajua kama zile ni Pesa zetu kihalali
Hv hawa Ccm wanawazaga kwa kutumia arghhhh nataman nimpe bonge ya tusi mwanakharam kabisaaaa huyu
Sijui hata wale ndugu zangu walimpigia kura za nn
 
Yaan nmfngua kwa moyo kweli nijue nn kmeandkwa hmu ndan kmbe nakutana na ushuzi mtup wa hawa wachumia tumbo wachache ambao hawajui thamani ya wazarendo walio wengi nnje wnaumia kwa ujinga wao wakuptsha sheria kandamizi kwa watumishi walio wengi na yet wao wakmalza 5yrs wanapewa 100% ya mafao yao kwann basi wasiptshe sheria kuwa na wao wapewe hyo 35% wnayopewa watu waliotumikia nchi kwa zaid ya miaka 30 ksha wte tushirikiane ktka ujenz wa vwanda........Bogaz kbsa
Tukutane 2020 In sha Allah
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Yaani 60bln zikiwelezwa zinaweza zikatufanya Kama Taifa tupae kiuchumi?

Ngoja niuheshimu uhuru wake wa Maoni.

Mbona haji na suggestions kwamba na Wao Wabunge, Waziri na Manaibu wao Pamoja na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwamba na Wao wawe wa hanga wa sheria hiyo kandamizi ili sote Raia wa nchi hii kwa umoja wetu mafao Yetu yatumike kuuinua Uchumi wetu?
 
Kingu ana hasira za kuovatekiwa na Mwita Waitara katika uwaziri!
Sasa kwa hoja mufilisi kama hizi, ndo asahau kabisa huo uwaziri. Kwa sababu hoja hii badala ya kumjenga Rais katika sera ya viwanda kama anavyofikiri yeye Kingu, sasa inambomoa kabisa. Labda ndiyo lengo la Kingu, hatujui. Lakini anawakilisha mawazo ya wale wabunge wa NDIYOOOO na wenye kuleta miongozo ya hovyo ndani ya bunge. Mkuu, naona sasa unaona mwanga mpya.......
 
KINGU WEWE NI MCHAWI MKUBWA..HELA ZENU WABUNGE MNACHUKUA ZOTE, ZA WAFANYAKAZI WENGINE ZIKAJENGEE VIWANDA....LAANA HII ITAKUFUATA WEWE NA FAMILIA YAKO HADI KIZAZI CHA NNE.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom