Bombadier haiwezi kubeba mizigo mingi kwenda na kutoka bandariniSasa Ikianza Kazi Bombardier Itadoda
Safi sana,JPM kaacha alama kubwa sana za kujivunia sisi kama watanzania ndani ya muda mchache.
Tunataka December Hii Ianze Kutembea Ahadi Iwe Imetekelezekahii reli itakuwa mkombozi sana wa uchumi, na itakimbiza sana uchumi kwenye maeneo inakopita. na hii ndio legacy kubwa mbayo tutamkumbuka magufuli nayo. bado Samia, afanye kitu kitakachotufanya tumkumbuke na yeye. nampenda mama yetu na nina imani naye.
December hiyoooo.December Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro
December 😟😟 hiyo kitu haipo..Tunataka December Hii Ianze Kutembea Ahadi Iwe Imetekelezeka
Achana kabisa na ule uongo uongo wa reli tv Mara bado 98% amna lolote kuna section hata reli hakuna Sasa hiyo treni inapitia wapi? Sikatai Kuna sehemu kweli pamekamilika Ila kwa December hakuna treni inayotembea hapo.Ccm Imetuvuruga Sana Ndugu Zangu
Hii ndio december mkuuDecember Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro
Kwa train za umeme unaweza kuishi Dar na ukafanya kazi Dodoma.