Kingolwira Morogoro

Jpm ndio alionyesha namna rais wa nchii hii anapaswa kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Masanja Kungu Kadogosa Treni Mpaka Sasa Hivi Dar Es Salaam ~Morogoro Imemshinda Hivi Huko Mwanza Mpaka Kìgoma Itawezekana Kweli
 
Huo mradi ni white elephant, sio kitu halisi, ni mradi wa upigaji wa wakubwa ambao kwa sasa ama wamekufa au wako nje ya mfumo. Ni miongoni ya legacy za kipumbavu zaidi za Magufuli na CCM. Huo mradi hautaweza kukamilika mwaka huu wala mwaka kesho. Sioni uwezekano hata wa kuja kukamilika wote!

Kitakachokuja kufanyika ni kuwa, kati ya mwaka 2024 na 2025 kipande cha Dar- Moro huenda kitaanza kufanya kazi ili kutuzuga wadanganyika na kuombea kura, na kati 2025-2030 kipande cha Moro-Dodoma nacho kitakamilika na huo ndio utakuwa mwisho wa hadithi.
 

Kadogasa Kungu Anatuangusha Mno Sound Nyingi Vitendo Hakuna Zaidi Kusogeza Muda Mbele

 
Mlioko Dar Es Salaam
VP Treni Ya Masanja Imeshaanza Safari Maana Mwezi May Ndiyo Huu Waliosema Itatembea
 
Back
Top Bottom