Kwa hiyo saizi huvai tena soksi zilizotoboka?????
endelea kuzinguliwa, blank page umemuwekea naninampenda sana ila ananizingua,mwambie nampenda pliz
mwambie tu nampenda sana
nampenda sana ila ananizingua,mwambie nampenda pliz
Unauweza mziki huo ndugu yangu??
Maana King'asti si wa mchezo ati!!!
Na kumpata inabidi ujipange haswaa, na utumie ma' akili saaana.
Nadhani we mwenyewe unaona jinsi upstairs kwake kulivyotulia yakhee!!
Nimeongea nae yuko Ubungo Plaza kunako Miss Redds , japo kuna makelele bt tumeskilizana. Kaniambia anakuona hujatuliatulia hivi! Anakufananisha kama Philipo Mulugo namna hii !
Nway mjumbe hauwawi mi nimefikisha, sijatia maneno yangu.
Btw maoni yng kwako usikate tamaa!
Kuna mwanamke anamzidi usungura mwanaume?
Hawa si ndo sitaki-nataka!
Kaza daluga meeen.
Nimeongea nae anasema hata yeye alikuwa anakupenda sana enzi zile ulipokuwa na soksi zilizo toboka kwa sasa hakupendi tena kwa kuwa unavaa socks mpya.
Pl'se King'ast njoo mitaa hii !
Nna hamu kuona Panya anamuvuzisha kabati !
Nazjaz, jino moja mswaki wa nini?hapo, kuna picha ambazo hazionekani au ni macho yangu?
Mgonjwa wa fungus socks za nini?
Kwa hiyo saizi huvai tena soksi zilizotoboka?????
mnhhhhhhhhhhhhh