King'asti Uko Juu

Kyng'erst, you know I hate you now
and you won't stop me

angalizo: nilipe gharama za kurenew jina lako basi.
Siku hizi bwana kapunguza bajeti
ya mkorogo anamsaidia bibi mmoja hivi
kulipia ada watoto wake aloachiwa na bwanake
 
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti.
Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini.
Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada?
Samahani King'asti, nimekuanzishia mada kwa nia njema.
Hongera mwaya!
Nitaomba Mods waingilie kati kama kuna atakayepotosha uzi.

Nahisi umenisemea,
ahsante kwa mtoa maada!
Great one King'ast, go ahead!
 
Nimeshindwa kujizuia.Ninapenda sana michango ya King'asti.
Anachanganya utani na umakini na kutoa kitu makini.
Je wewe mwenzangu unasemaje kuhusu huyu mdada?
Samahani King'asti, nimekuanzishia mada kwa nia njema.
Hongera mwaya!
Nitaomba Mods waingilie kati kama kuna atakayepotosha uzi.

Ila kusema ukweli King'asti is vere vere gudi....mi mwenyewe namfagilia kwa saana tu!!
 
Safi sana, hongera King'asti. Kama wengi wape, basi hata alofika level ya mwana isha utakuwa ameelewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom