King'asti Uko Juu

King'asti Uko Juu

Ma mkwe wangu king'asti yupo juu kama dege la jeshi hana mpinzani. Mkwe nimekumisije!
 
Family Dr baby niece, auntie king' akikasirika inamchukua 5 mins tu kurudia furaha yake! Maisha mafupi haya, even death is not permanent. So who cares?!
Zingatia, nilisema yale majani ni mabaya, usiguse!
mm hua ananichanya wapi ankua kachukia na wap kafrahika.
 
Mtoto hata hufai! Yaani umehamia small house mwaka mzima, kha! Mie nikiwa juu kama dege la jeshi wewe si utahamia angani kama dege la prezidaa? Kope zangu mbona umenizika sasa,lol!
Ma mkwe wangu king'asti yupo juu kama dege la jeshi hana mpinzani. Mkwe nimekumisije!
 
Teamo, zis iz anaza kind of nem-koling! Na unajua kabisa PAW ni mume wangu na FANG ni small house yangu. Unadhani nikiripotoi hii abyuzi itakupata nini?
..nawashukuruni sana wajameni..!mi ndo king'ast mwenyewe na hii ni ID angu mpya..!nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mzalendo na mkweli kwa kureveal ID yangu nyingine ya teamo
 
King'ast mie simpendi kutokana na avatar yake.ila katika uandishi na ushauri aaah!! Huwa ananikoshagapo
 
Wewe mtumwa mchokozi sana! Kwanza unajua this is black history month?
Haya sema sasa ndo unanipenda ama hunipendi, manake wajiuma uma,hehehe
King'ast mie simpendi kutokana na avatar yake.ila katika uandishi na ushauri aaah!! Huwa ananikoshagapo
 
Mtoto hata hufai! Yaani umehamia small house mwaka mzima, kha! Mie nikiwa juu kama dege la jeshi wewe si utahamia angani kama dege la prezidaa? Kope zangu mbona umenizika sasa,lol!

kasmol hauz kameninogea. Lol, mwambie ur son nitarejea ila sharti asiniulize nilipotoka. Kope nauzia uzia sura mjini halaf vumbi kali full kuniprotect macho. Lol.
 
mie pia namkubali sana kwanza avatar yake kitu cha machine gun, ukikaa vibaya anakulipuaje teh.
upo juu mamie.
 
King'ast mie simpendi kutokana na avatar yake.ila katika uandishi na ushauri aaah!! Huwa ananikoshagapo

mimi nampenda sana coz avatar yake ni picha ya mdada mmoja nimesoma nae chuo na aliyeidesign picha hii ni mtu wangu wa karibu so huwa nadhani ni yeye kabisa yule mdada niliyesoma nae(ila sina uhakika nikipata uhakika nadhani nitafurahi zaidi).
 
Nimepitwaje na uzi huu wa kifamilia jamani? Mke mwenza na mkweo Husninyo mna kesi ya kujibu. Kwa nini hamjani 'dipu' toka jana? Hongera mke mwenza!
 
Enhe King'asti za kunitoroka na nlikwambia nna shida na wewe?
 
Katika watu ninapenda luwakuta wakijadili thread King'asti yumo pia.
Napenda zaidi akitoa wisdom from her Dad... Hongera King!
 
he he he
hakuna cha bi mdogo wala kati
namla mwenyewe

tena nimentia na ndimu siku hizi
huyo jirani tulimsaidia kulipiwa watoto wake ada
baada ya bwana kumkimbia
sasa anataka kubeep

Sasa wewe una wivu kama mke mwenzio! Si ungenistua nimepaishwa, mchana nakula ugali najing'ata kumbe nimewekwa stejini! Acha wivu shostingo, lol

Umbea: eti mume karudi na bi mdogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom