hii kampuni ya basic transmission sijui imefikia wapi kabla ya kuanza kutoa huduma hii mpya ya digital tv,binafsi ninge suggest wa adopt system ya dvb s na siyo dvb t ili watanzania wote pamoja na wa vijijini wapate huduma hii ya matangazo ya tv kwa mfumo mpya wa digital kwa wakati mmoja,huu mfumo wa dvb t wa minara unaonyesha ume fail hapa tz.ni zaidi ya miaka mitatu sasa tangu startimes imeanza kutoa huduma hii dar lakini mpaka leo coverage imebakia kwenye miji mikuu ya mikoa michache kama tanga arusha moshi mbeya dodoma mwanza tu wakati nchi nzima tuko gizani tu,kwa spidi hii labda itachukua miaka 50 kwa hii syst ya dvb t kusambaa nchi nzima.hii kampuni ingeiga kampuni ya zuku ambayo kwa muda mfupi imesambaa east and cental afrika yote