King'amuzi cha itv na sahara lini jamani?

KAYUKI

Member
May 8, 2011
14
1
Nimekuwa mteja wa star times kwa muda sasa lakini wamechosha na wamekosa ubunifu. wamefikia hata kubadili chanels kwenye vifurushi bila kutoa taarifa. mwenye tetesi au taarifa za king'amuzi cha ITV na SAHARA anipatie.. Kama kuna watumiaji wa ZUKU naombeni kujua wana local channels ngapi na za sports ngapi?
 
Nilisha pita kwa wakala wa zuku kuuliza local channels walizo nazo, akaniambia ni TBC na ITV tu.
 
Wanakampuni ya pamoja inaitwa Basic Transmission Compan LTD (BTC). Wataanza mpango mzima end of ths September. In a meantime you either add TING au kuwa mpole kwa ST
 
Wanakampuni ya pamoja inaitwa Basic Transmission Compan LTD (BTC). Wataanza mpango mzima end of ths September. In a meantime you either add TING au kuwa mpole kwa ST

Ni channel zipi za tofauti watakuwa nazo? inaonekana tumekimbilia teknolojia tusiyoiweza au TCRA kazi imewashinda. Na wao wanaweza wasiweke local channels nyingine kama ilivyo startimes sasa hivi walivyotuwekea majina tu bila picha.
 
Kwa hili la ST kutokuwa na local channels za kutosha tatzo si wao bali shida iko TCRA,wkt ST wanaanzisha walitakiwa kubanwa na kutopewa leseni km hawajatimiza masharti! Sasa mwekezaji alishaanza tena kwa mbwembwe kbao utamgusa? Haja hao sahara na itv,watakuwa na channels zao finito! I love Tanzania!
 
nijuavyo mimi,itv au sahara,hawausiki na utoaji wa huduma ya kurusha matangazo ya digital,kazi hiyo ni kwa ting,startimes na wengine,na kisheria local chanel zote zinatakiwa ziwepo free,hata kama hujafanya malipo ya mwezi husika,wanatakiwa wafunge zile chanel za kulipia tu,na zile local ziwepo,ila cha ajabu usipolipia tu,wanafunga hata hizi local chanel hususani cloud tv,agape,na star tv.Mi nadhani ni kukimbilia mambo kwa mkumbo tu,bila maandalizi mazuri.
 
Mpaka sasa kuna utata hapa kwa baadhi ya watu nchini mwetu maana ukiwaambia hizi local hakuna kulipia kuna uwezekano watu wakauchuna kulipia, ila tumeruka hatua nyingi mbele kwenye hii issue, hii star times au ving'amuzi kwa ujumla vinakamata sehemu chache sana na kusambaza sehemu kubwa ya nchi ni issue ila kwa tunaokaa mijini tuna afadhali ila kwa makao makuu ya wilaya ni issue. Ila kuna siku niliona king'amuzi cha AGAPE wao wamekuja na antena pia na dish dogo kama la DSTV ambalo unaweza funga popote.

Technolojia ya Cable kwa kanda ya ziwa especially Mwanza inasaidia kweli kupata chanel zote (local and international including entertainment channel, ila hawa star times wanaboa waliingia kwa gia ya TBC lakini naona kama wapo independent na wanaweka channel za kijapani.
 
Wanakampuni ya pamoja inaitwa Basic Transmission Compan LTD (BTC). Wataanza mpango mzima end of ths September. In a meantime you either add TING au kuwa mpole kwa ST

Mbona siku zinaenda na hawasikiki? Wasije wakakurupuka na kututelea vitu vibaya na wao. Kama ni kweli wataanza mwaka huu itabidi waje kwa umakini kwa kuangalia mapungufu ya wenzao na kuleta huduma bora isiyokatikakatika.
 
itv,eatv,star tv,tbc1&2,channel 10,sibuka,dtv zote izo zinapatikana *times
 
kwa sasa star times wana local chanels nyingi kupita vingamuzi vingine vyote vilivyopo
 
kiukwel.mwenzenu nshahama kuangalia local channels kitambo,nliona longo longo,mara nunuen tv za digitali,mara hata za chog zafaa,yaani ni keero tupu,ving'amuzi vitakuwa lukuki kama sahani nyumbani
 
hii kampuni ya basic transmission sijui imefikia wapi kabla ya kuanza kutoa huduma hii mpya ya digital tv,binafsi ninge suggest wa adopt system ya dvb s na siyo dvb t ili watanzania wote pamoja na wa vijijini wapate huduma hii ya matangazo ya tv kwa mfumo mpya wa digital kwa wakati mmoja,huu mfumo wa dvb t wa minara unaonyesha ume fail hapa tz.ni zaidi ya miaka mitatu sasa tangu startimes imeanza kutoa huduma hii dar lakini mpaka leo coverage imebakia kwenye miji mikuu ya mikoa michache kama tanga arusha moshi mbeya dodoma mwanza tu wakati nchi nzima tuko gizani tu,kwa spidi hii labda itachukua miaka 50 kwa hii syst ya dvb t kusambaa nchi nzima.hii kampuni ingeiga kampuni ya zuku ambayo kwa muda mfupi imesambaa east and cental afrika yote
 
tuko pamoja
 
Star Times nao wahuni mfano mzuri hapo Moro tuu haikamati na Kigoma ndio hakuna dalili za wao kuwepo hata kidogo.
 
Kwangu no signal kwa kwenda mbele, na ikipatikana channels zinatetemeka kama mgonjwa wa degedege! Naona nitalazimika kurudi kwenye enzi ya 'zungusha kushoto' 'tena kidogo''aah' 'rudisha nyuma tena kidogo'!
 
Sio kweli.
Kingamuzi kinachoongoza kwa local channels ni Easy Tv

startimes washaanza kuzionesha mbona mi kwangu nashika itv eatv star kama kawaida sema zinaonesha kama ni on test..
 
Ila wajitahidi kuimprove quality maana ITV nnayoiona kwa mwiba wa samaki ni better kuliko nikitumia king'amuzi.
 
Back
Top Bottom