King Mswati III in Dar...

King Mswati III in Dar...

Mkuu,

Hivi si nasikia wanawake kuacha matiti nje na kuvaa vinguo vifupi ni kukosa maadili mema mbele ya jamii na inachochea vitendo vya ubakaji na kujidhalilisha?

Vipi huko kwao si UKIMWI utakuwa umeenea sana na kesi kama hizo za ubakaji?

Huwa anaoa Ma virgin mkuu...

Na huko kila mtu anajiheshimu
 
Yafaa awe anavaa mavazi ya asili suti haimpendezi
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372341229774.jpg
    uploadfromtaptalk1372341229774.jpg
    23 KB · Views: 116
Last edited by a moderator:
Nimemuadmire huyo mfalme. Ametulia kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.
wanawake ni wengi sana yeye hawanyanyasi anawapatia huduma kwanza ni fahari kuwa na mfalme au unamawazo tofauti
 
Kwao wachawi waruka na ungo wanakuwa regulated na mamlaka za serikali
Wakipaa zaid ya meta 150 ni full Kulipishwa fidia
 
hivi akiingia bungeni spika atafuata kanuni gani
 
Nimeipenda hiyo hirizi neusi ya mlinzi, hakianani mswati kiboko, ila totoz sizioni!
 
Back
Top Bottom