King Mswati III in Dar...

King Mswati III in Dar...

Swala la Wanawake huko kwao wanalifanya kiutamaduni mkuu..
Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.
 
weye utakuwa TGNP
...................Hata hivyo, kutetea haki za binadamu mwenzio, wakiwemo wanawake sio lazima uwe TGNP, nakushauri mkuu unapoona udhalilishaji na ukiukwaji usikae kimya.
 
Haki za binadamu wakiwemo wanawake zinabaki palepale.
Singizia kitu chochote utakacho, iwe utamaduni, mila, dini n.k, Udhalilishaji utabaki kuwa udhalilishaji tu, bila kujali umefanyika kwa mwavuli wa nini kati ya vitu nilivyotaja.

huo udhalilishaji anaufanya kivipi mkuu..

Kufuata utaratibu wakitamaduni ndiyo udhalilishaji?

Come here with facts..unielimishe na mimi nisiyejua.
 
Haya wakienda kwa mwenzao na wao wazidi kunyonga tai....
 
Hebu fafanua kidogo mkuu,...analindwaje kitamaduni mkuu

Angalia vyema Picha hapo juu uwaone walinzi wake..

Mcheki vizuri huyo aliyepo katikati yake na Bilali..
Mkononi amefunga zana ya ukweli

Ndiyo maana nikasema analindwa kiutamaduni...
 
Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao?

wanafikiria hivi

mswati2.jpg
 
Angalia vyema Picha hapo juu uwaone walinzi wake..

Mcheki vizuri huyo aliyepo katikati yake na Bilali..
Mkononi amefunga zana ya ukweli

Ndiyo maana nikasema analindwa kiutamaduni...

Thanx.......
 
Warembo mjitokeze mnaweza kupata zali la mentali!

NB: Akikisha upo VIRGIN ndio ujitokeze.
 
Hivi ana wake wangapi vile,mwenye kujua taf.binafsi nimempenda jinsi alivyovaa.
 
Ingependeza saana kama angepokelewa na Lowasa ktk vazi la kimasai
 
mzee wa totoz
Siyo yeye anayetaka ni mila ya kwao kuwa mfalme anaoa kila mwaka ambapo hizo totoz hupita mbele yake vifua wazi, matumbo wazi na mapaja wazi ili aweze kujichaguli kamoja. Mwaka huu kama sikosei atatimiza wake 13 au 14. Na hizo totoz sio kwamba zinalazimishwa ila zenyewe hujitokeza kama wanavyojitokeza wanaowania umiss TZ. Kwao huona fahari kubwa kuolewa na mfalme
 
Wanatamani wampekua kwenye kitambaa chake alichofunga mkononi.
 
Back
Top Bottom