King Mswati III in Dar...

King Mswati III in Dar...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,488
Reaction score
18,362
Mswati kaingia dar Kiafrika Zaidi..

Wearing style,

Security guard and alike...wanadumisha utamaduni wa kiafrika...

Cheki tofauti yake

attachment.php


Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria
Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu

Mswati...jpg

mswat....jpg

 

Attachments

  • 02.jpg
    02.jpg
    36.1 KB · Views: 5,929
yuko tofauti kabisa na suti za akina bilali...
 
Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari?

Alafu jamaa kumbe ni mrefu mpaka bilal ameonaka mdogo.....alafu ajaja na demu wake sijui kwa nn amemuacha huwa ana wanawake wazuri sana huyu jamaa
 
Back
Top Bottom