Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Mswati.jpg
Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko.

Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota kwa uchumi, wamezidi kupaza sauti kutaka mageuzi ya kisiasa.

Shirika la Amnesty International lisema hatua hiyo ni ushahidi wa kuendelea kuwakandamiza wapinzani katika taifa hilo linaloongozwa na Mfalme Mswati III aliyeingia madarakani Mwaka 1986 huku vyama vya kisiasa vikipigwa marufuku kushiriki katika uchaguzi.

=====

Eswatini MPs who challenged king's rule convicted
Eswatini's Mswati III is Africa's last absolute monarch

A court in Eswatini has found two lawmakers guilty of murder and terrorism for their role in a wave of protests that hit the country in 2021.

Mduduzi Bacede Mabuza and Mthandeni Dube face up to 20 years in jail.

The two were detained after taking part in pro-democracy protests in what is Africa's last absolute monarchy.

They pleaded not guilty to inciting unrest.

Amnesty International said the convictions were evidence of the country's continuing crackdown on dissent.

The demonstrations were violently crushed by the security forces leaving dozens of people dead.

Eswatini has been rule by King Mswati III since 1986 and political parties are banned from taking part in elections.

Protesters, angered by economic decline, have become increasingly vocal in demanding political reform.

Source: BBC
 
Huyu mfalme anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Zama za utemi ziliishapitwa na wakati.
 
Wapindue nchi sio kujigomesha gomesha tu- wanaume wa kweli anaingia msituni
 
Back
Top Bottom