Mkuu kwa Uhakika zaid Fuatilia Huu uzi hapa chini
https://www.jamiiforums.com/interna...-and-a-heavy-fine-if-they-break-new-laws.html
Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao?
weeeeeeeeeee mtume bibi akuje aone kama sio virgin mimi
nimempenda jinsi alivyovaa culture
Binafsi nimempenda saaaaaaaaana na asili, yake naona mijamaa inamshangaa alivovaa
wanafikiria hivi
![]()
haoi mwanamke asiye bikra...
Tanzania sidhani kama wapo...
Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake.
Wakati tunalalamika wanadhalilishwa, kwao wao ni fahari kubwa kwa kuenzi utamaduni wao. Wapo watanzania wengi wanavaa hivi, wapo wasanii wakubwa wa Kibongo wanavaa uchi,hao nao wanadhalilishwa? Wenzetu weupe pia wanavaa uchi, mbona hatusemi wanadhalilishwa? so kila mtu anauishi utamaduni wake.
Kongosho, ungeniuliza kuwa udhalilishaji ni nini ningekufafanulia vizuri, lakini ukiuliza ni nani aliye define kuwa huo ni udhalilishaji au kitu flani udhalilishaji, ni mjadala mpana ambao unasababisha nikuulize swali juu ya swali ili kupata jibu,Nani ka-define afanyacho kama udhalilishaji?
Asante, ungekuwa karibu ningekuzawadia
Tumetekwa na wazungu hadi hatujitambua tena, wazungu kutwa kuche wanatembea uchi beach, ukiuliza wanasema wanapunga upepo.
Achia mbali kwenye night clubs, dunia hii kila mmoja bora aheshimu mila za mwenzie mradi hazimuumizi mtu