Watu waache utani ogopa mila, mfano kwetu kijijini kama huna wake zaidi ya sita kwenye mkutano wa kijiji huwezi kusimama kutoa hoja kwani huna uwezo! sasa humu watu wanalalama eti anadharirisha, kuna binti yoyote anayedai kalazimishwa? kwanza wanaona dili wanapopendwa. Kama nyie hampendwi acha wivu!